RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
- Thread starter
-
- #21
Alifika bei!hakufuata hicho!Wew
We Ishomile ulishindwa vipi kumtoa maji mkeo mpaka ukasaidiwe na diwani?
Mtu mpumbavu kama wewe, hata ulalamike vipi hatutakuonea huruma
kumbe diwani!Kumbe diwani. Samehe na move on. We ni wa thamani kuliko mtu mwingine yoyote hapa Duniani.
Jitambue na jithamini mkuu. Wanawake ni wengi sana na kila siku wanazaliwa watoto wazuri. Tafuta kitoto kimoja cha 2000 na endelea na maisha. Achana na hilo gumegume.
KUMBE DIWANI😀😀😀😀
Ni story ya jamaaNyoosha maelezo kuwa mwanaume kiukakamavu ili uweleweke ungetaka iwe Siri hata hapa usingekuja na hiyo madam yako
Ahaaa sawaNi story ya jamaa