Kwani wingi wa MaDr ndo suluhisho la matatizo yetu au ndio kunachochea kuongezeka kwa ufisadi?hata mimi nilishangaa sana. Awali nilifikiri wamekosea lakini waliporudia mara tatu nikajua wamemaanisha!! Mwenye Academic background yake naomba atuwekee humu!! sifa za kijinga hatuzifagilii!!