kujaribu ni kitu kizuri zaidi kuliko kukaa pembeni na kumdhihaki mtu anayejaribu. you must know that " trying is far better than not trying". ninakuambia hivyo kwani rashidi wa muungwana blog alijaribu na ameshinda gari. sasa kwa nini wengine wasijaribu. hata kama unalo gari unaweza ukashinda ukawa na gari lingine tofauti na ulilokuwa nalo mwanzo pia uzuri ni kwamba unajichagulia gari mwenyewe kulingana na bei iliyopangwaSimu yako yenyewe tecno y3 lazima huna gari na unTaka la kupewa