figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
kushangilia timu hii uwe na moyo mgumu kama wa mwendawazimu, la sivyo utapata presha mkuu!hiyo nimeamini baada ya baadhi yaviongozi na mashabiki wa simba kujiapiza eti na wao lazima waishangilie na kuisupport zamalek eti kwa sababu yanga walizomea siku kili star ilipokuwa ikicheza mechi katika mashindano ya cecafa. sasa hivi simba wana mpango wa kuagiza jezi za zamalek ili siku itakapo pambana na yanga waishangilie.
haya mambo ya usimba na yanga ndio yanaharibu soka la bongo. Haya mambo ya usimba na uyanga anayaendekeza sana julio ndo maana alizomewa akakimbia. Mia
Mimi nashangaa Julio ametajwa sana kwenye timu hii wakati ukweli ni kwamba kocha mkuu wa Kilimanjaro Stars alikuwa ni Boniface Mkwasa. Nashangaa hata kwenye meseji za vipindi vya michezo redioni, watu wengi walisema timu ya Julio imefanya hiki na kile. Ina maana kocha mkuu hakuchagua ile timu akamuachia msaidizi wake? Au ndo kusema Julio yupo juu kuliko Mkwasa? Kwa nini lawama ziende kwa Julio pekee? Sina jibu, ila nilikuwa nabaki kushangaa tu!
Julio mtata.
usiogope mpwa ndio ukubwa huu
iwe simba au yanga ichezapo na timu ya nje bora unyamaze kimya kuliko kushangilia timu ya nje ya nchi yako. binafsi sikubaliani na huu usimba na uyanga usio na tija wala mwelekeo
Mimi nashangaa Julio ametajwa sana kwenye timu hii wakati ukweli ni kwamba kocha mkuu wa Kilimanjaro Stars alikuwa ni Boniface Mkwasa. Nashangaa hata kwenye meseji za vipindi vya michezo redioni, watu wengi walisema timu ya Julio imefanya hiki na kile. Ina maana kocha mkuu hakuchagua ile timu akamuachia msaidizi wake?
kushangilia timu hii uwe na moyo mgumu kama wa mwendawazimu, la sivyo utapata presha mkuu!
julio ndo kachagua timu.ova
- Makosa machache niliyoyaona mimi kwa Kili Stars
kwanza TFF kumteua Mkwasa Kocha mkuu
..
1.amekua na timu ya wanawake muda mwingi ...karibu miaka 2
2.amefundisha timu ya ligi kipindi kichache.(na haiko katika hali nzuri katika ligi).kumbuka twiga wamecheza Afrika Kusini
Hata ingekuwa wachezaji wangetoka yanga au azam tupu bila maandalizi hatufiki popote
Tatizo ni hawa makocha wa kibongo walililia sana wapewe timu ya taifa kwamba na wao wanao uwezo wa kuifikisha mbali.Matokeo yake ndiyo hayo tumeyaona.
Na kweli yeye ndo alikuwa boss,Mkwasa alikuwa bendera tu.julio ndo kachagua timu.ova