Wao hawana akili?Kocha gani anachagua timu mbovu?Kama vipi wangekataa kazi.wakina julio wamewekwa kama mtego ili kuwaziba mdomo makocha wazawa. walitaka watu waseme wazawa hamna kitu ili waendelee kula 10% ya makocha wageni. Tunao makocha wazawa wengi tu. Julio katumika kama chambo kuwaaibisha makocha wazawa. wanajua hana uwezo. Mia
julio mpira anachanganya na siasa. mala utasikia goli hili ni zawadi ya rais na mwenyekiti wa ccm mh.dr. jakaya kikwete.
Kwa mfano siku ile anachagua kili star alisema haoni mchezaji yanga wa kucheza kwenye kikosi chake imara atakacho kichagua. mia
Ilikuwa ni Simba ndio maana walau ilifika nusu fainali. Ingeongezwa wachezaji wa Yanga tungeishia raundi ya kwanza. Hebu tuwe wakweli, kuna mchezaji gani pale Yanga aliyecheza vizuri kwenye ligi lakini hakuchaguliwa Kili stars?