Kumbe ni kweli, ukikanyaga yai haliwezi kuvunjika, leo nimejaribu

Kumbe ni kweli, ukikanyaga yai haliwezi kuvunjika, leo nimejaribu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Watoto wangu walipotoka shule wamenieleza walichojifunza shuleni.

Kwamba yai ukiliweka kwenye upright position yaani liwe kama limesima ukilikanyaga kwa juu haliwezi kuvunjika hata mzito kiasi gani huwezi kuvunja.

Nimejaribu sana leo mchana lakini sijafanikiwa.

Kwa maana nyingine unaweza kucheza mzziki au mpira juu ya trei ya mayai bila kuvunja hata moja kama yamepangwa vizuri.

Wakuu mkipata muda fanyeni kujaribu hii sayansi nyumbani.
 
Hii thread inaendana kabisa na jina lako.

Hututakii mema.
 
Nmejaribu hapa limepasuka., aya nmekosa mboga sasa sijui nikoroge tu uji ninywe ndip umridhika na nafsi yako sasa😅😂
 
Back
Top Bottom