Kumbe ni kweli wanaume wa Dar wanaogopa paka

Kumbe ni kweli wanaume wa Dar wanaogopa paka

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Nilikuwa nafikiri ni propaganda lakini nimeshuhudia mwenyewe mwanaume akiita mhudumu wa mgahawa amsaidie kufukuza paka waliokua chini ya meza yake akipata chakula na anayeonekana mpenziwe.

Kwakweli hii ni aibu kubwa sana kwa wakazi wa mji huu na viunga vyake vyote.

Bora nihamie Chato sasa.
 
Yani mwanaume anaogopa pussy...afu yuko na mpenzi wake.

Sasaaa...anyway..hivyo hivyo
 
Nilikuwa nafikiri ni propaganda lakini nimeshuhudia mwenyewe mwanaume akiita mhudumu wa mgahawa amsaidie kufukuza paka waliokua chini ya meza yake akipata chakula na anayeonekana mpenziwe.

Kwakweli hii ni aibu kubwa Sana kwa wakazi wa mji huu na viunga vyake vyote.

Bora nihamie Chato sasa.
🤣🤣🤣🤣
 
Hao jamaa tukianza kuwaongelea tutakesha
Hata akikabwa na tonge la ubwabwa
Anaenda kusema kwa mkewe
Anaambiwa baby kwa kukabwa na chipsi
 
Hao jamaa tukianza kuwaongelea tutakesha
Hata akikabwa na tonge la ubwabwa
Anaenda kusema kwa mkewe
Anaambiwa baby kwa kukabwa na chipsi
Nahamia chato mkuu kule kuna bandari Safi , Airport na ni kitovu cha utalii.
 
Kuna mwanaume wa dar mmoja alianzisha uzi humu anasema ameamishiwa Arusha lakin tangu alivyo fika akajifungia ndan kwasababu anaogopa Sana watu wa Arusha[emoji16][emoji16]

Wanaume wa daslam pigo zao kama wachumba
 
Kuna mwanaume wa dar mmoja alianzisha uzi humu anasema ameamishiwa Arusha lakin tangu alivyo fika akajifungia ndan kwasababu anaogopa Sana watu wa Arusha[emoji16][emoji16]
Ndio hao hao mkuu, nimeona aibu Sana mkuu,
 
Back
Top Bottom