Wanatumbukia hadi ziwani kukamata samaki.Paka wa Chato uwasikie tu!
Aaah..... mie napita tu!Wakoje hao mkuu maana ndio naelekea huko, huu mji umenishinda.
🤣🤣🤣🤣Nilikuwa nafikiri ni propaganda lakini nimeshuhudia mwenyewe mwanaume akiita mhudumu wa mgahawa amsaidie kufukuza paka waliokua chini ya meza yake akipata chakula na anayeonekana mpenziwe.
Kwakweli hii ni aibu kubwa Sana kwa wakazi wa mji huu na viunga vyake vyote.
Bora nihamie Chato sasa.