Wakuu sikuipekua simu,aliiweka mezani harafu alitoka ghafla ikawa bado haijaji`lock nikaona rangi za JF ndio nikasogelea kupiga chabo kutaka kujua alikuwa anasoma nini JF ndio nikaiona ID yake,na ndio maana nikasema nili`sneak tu,ilikuwa ni kitendo cha seconds kama 15-20 tu,so kwa ambae hajanielewa asinihukumu tu,binadamu tuna udhaifu huo wa chabo,hata kwenye madaladala tunapigana sana chabo kutaka tu kujua huyu anafanya nini kwenye simu yake...uroho wa chabo ni udhaifu wetu tulio wengi,najua mnanielewa ila tu ujivuni wa kukosoa kosoa ndio mnataka kuniona nazingua..