Kumbe Ni Ndoto Bhana

Amri97

Member
Joined
Sep 11, 2020
Posts
87
Reaction score
98
Najaribu tu kuwaza, assume zile ups and down, happy moment ulizopitia na kila aina ya changamoto ulizo experience katika maisha yako yoote yageuke kuwa ndoto za usiku.

Kwamba hayana uhalisia wowote.

Then unakuja kushtuliwa na Bi mkubwa ako uwahi shule ndo kwanza upo STD III
 
Sasa chaajabu hilo la kuamshwa na bi mkubwa ndio ndoto yenyewe halafu hizo ups and downs ndo real life..😅
 
Natamani ingelikuwa wakati wa ukoloni ndo kwanza tunapigania uhuru.
Na mimi ningelishiriki kumchapa mkoloni kama Kibanga alivyokuwa jasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…