Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze


Hili swali natamani niende pale ilala ofisini kwake nikamuulize maana sio kwa uchochezi huu
 
Wengi wa watanzania HAWAJAKUELEWA kaka

Bado hawajafika stage ambayo mie nawe tumeifikia

ILA NI VYEMA HIVI, KULIKO KUKAA KIMYA KABISA

Najua na mie

HAMTANIELEWA!


Ila kama maji ni MACHAFU, mtungi je?

No contact between mtungi and maji?


HAMTANIELEWA
 
Naomba kuliza hivi katika wakuu wa mikoa kuna ambaye anapenda vyombo vya habari kuliko Daud Bashite ingekua so kweli ungesha msikia nakufungua kesi mahakamani kwakuzalilishwa
 
Watu wanapiga kelele tu bila ya kuchukua hatua.Kama kweli ameghushi mwageni ma vyeti feki yake hapa.Mnalia lia wee ushahidi mnaficha mfukoni.
Hii ndio tabia ya chadema.Lowassa kalia kaibiwa kura,anaambiwa toa fomu zako za matokeo ya urais tulinganishe na ya tume mpaka leo kimya.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Naomba kuliza hivi katika wakuu wa mikoa kuna ambaye anapenda vyombo vya habari kuliko Daud Bashite ingekua so kweli ungesha msikia nakufungua kesi mahakamani kwakuzalilishwa
Usimpangie mtu jinsi ya kupambana na tuhuma zake.Nyie harisheni weee.Mwisho wa siku Paul Makonda atatoka salama
 
Pasco hata kama umechukua bahasha ya khaki kutoka kwa daudi bashite wa kolomije haitasaidia huku kubwabwaja kwako.

Umeongea pumba zisizo na mashiko...Huyu kiumbe bwana bashite ana case ya kujibu
 
pamoja na mbwembwe zoooteee kateuliwa mama salma wewe tulia tuisome namba
 
Usimpangie mtu jinsi ya kupambana na tuhuna zake.Nyie harisheni weee.Mwisho wa siku Paul Makonda atatoka salama

Tuhuna = Tuhuma.

Mfikishie salamu zake kiumbe huyo bashite kuwa ana case ya kujibu
 
Wana jamvi embu ingieni fb andika daudi bashite utakacho ona huu mjadala umefungwa rasmi tunamsubiri jipu kutumbuliwa
 
Usimpangie mtu jinsi ya kupambana na tuhuna zake.Nyie harisheni weee.Mwisho wa siku Paul Makonda atatoka salama
Kama kawaida. Halafu wanaishiaga kuumbuka. Mwacheni kijana apige kazi.
 
Nawe umebadili jina umtetee sio?
Poyeeeeeeee!
Unakumbuka mkuu wa wilaya moja huko Singida aliyesafiri kuapishwa ghafla ikawa sio?
Hivi naye alikuwa kafanyiwa vetting?
Wacha maneno weka muzikiiiiii
[HASHTAG]#Bashite[/HASHTAG]
 
Ahsante mkuu, kwa kueleza vyema, maana mimi nilikua nashangaa, kama matokeo ya Ole sendeka yalitolewa kwanini ya makonda hakuna mpaka Leo, pia niliona Mange kataja jina lingine la ukoo na Gwajima kataja lingine
 
Sijawahi ona wasomi wambea kama wana jf hamna tofauti na akina binti msakuzi yule mtoto wa mzee ndevu mbili wa kule msangakile! Ushahidi wenyewe hamna ila mnakalia majungu tuu! Mtadhani wake wenza wanamtaka bwana! Wauza poda wakubwa nyiee!!
 
Yaani mtu akisoma heading na utangulizi aweza kudhani una cha maana ulicholeta kama udhibitisho wa uongo! Kumbe umetiririsha pumba tupu
 
Pasco ni yule yule sijamwona akibadilika......

Naona amebadili ID na mtindo wa Uandishi.........
 
Paskali umeshateuliwa first eleven ya DB???? Naona unaplay party kwa kutumia taaluma yako.

Yaani ni hiviiii tunamtaka Bashite akane tuhuma hizi kwa vielelezo vielelezo visivyokuwa na shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…