Njaa mbaya kaka, huyu siyo Pasco mfikirishaji ni Pasco mbabaishaji. Yaani yeye anawapa Kazi "wapiga filimbi" kufanya Kazi ya uchunguzi. Yaani wewe ni serikali unapewa taarifa ya uhalifu na msamalia mwema halafu unaanza kumlaumu kwa nini asianze yeye upelelezi, kisha akampekua kabisa mtuhumiwa na kumkuta na vielelezo ndo alete TAARIFA.?
PrecesilyMimi nimemwelewa Pascal, ni katika ule utaratibu wake wa kuchoma huku anajipendekeza, anaweka room ya sikukuandika vibaya.
Anachofanya Paskal ni kutoa tip jinsi ya kufanya uchunguz someni katikati ya mstariNilidhani una hoja ya msingi kumbe huna kitu. Utasemaje kwamba habari hii ni uzushi wakati hujaleta evidence ya kuthibisha uzushi wenyewe, sometimes nakuona YES lakini kwa hili uko WRONG brother
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] JPM'Mayalla' kule kwetu ina maana ya NJAA - JPM