Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Jibu hoja,na sio kuandika personal attacks.
 
Haya tumekusikia nenda kapate mshiko wako.
 
Alicho andika kinaitwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni........
 


Kufanya yote hayo ili iweje?

Kuna mambo mengi sana ya kufanya nchi hii zaidi ya cheti ya konda
 
Mwanzilishi WA hiyo habar kama sikosei ni yeye na amesema co ya kweli sasa we ambae umeikutia kati na huielewi na pasipo kuileta yeye usingeifahamu unashadaia. Haya toeni evidence alizozieleza hapo achen porojo
 
mtaandika sana mwaka huu. acha longolongo weka vyeti
 
Issue hii ilikuwa rahisi sana. Lakini inafanywa kuwa ngumu kwa sababu fulani. Serikali imetoka kushughulikia issues za vyeti feki juzi tu. Kwa hiyo nyie akina Paskali, acheni kuwaomba ushahidi wanaojadili humu Jf. Kwani wakati ule serikali ilitumia utaratibu gani??? iliomba ushahidi wa vyeti kwa mtu yeyote??? Tusemeni tu ukweli, issue hii itakuwa complicated kwa sababu ya yale mambo ya "Heri punda afe lakn mzigo wa tajiri ufike" (I hope everyone understands what i mean). Huko nyuma tuliishayaona mambo ya namna hii kwenye sakata za Luhumi, Escrow, Richmond, n.k. Naona hata safari hii, punda anataka kuuawa tena ili mzigo ufike salama.
 
In the game of thrones,is either you win or you die,there is no middle ground.

Tafsiri ya ulichokiandika ni kama sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
 
Mara nyingi huwa naelewa sana uandishi wako wa kifasihi Pascal, lakini hapa umekuja kivingine kabisa.... nahisi ulikuwa na pre- meeting kabla ya kurudi humu kihivi , .... sishangai sana Pascal, wewe ni binadamu km mimi na wengine humu. ...... mwisho wa siku tunahitaji kulipa vifurushi vya smartphone zetu, DSTV, AZAM tv n.k,.

Jumatano njema
 
Na wewe unamuogopa mkuu nn mayala kule kwetu tunakuita manjaa... mfn interview feki ya jana clouds hivi ni wap mzazi wako anaweza kukuita jina full yaani Paul Makonda kama hajakalili kapiga desa mfano mimi baba au mama ataniita MSUKUMA na Sio MSUKUMA DE GREAT na kwanini wazaz watoke igoma huko kuja clouds kituo chake pendwa kujibu tuhuma alafu ni lini mzaz wako atasahau kuhusu historia ya mtoto wake ya shule ata kama sio miaka achen useeeng.... ata wale wa zamani walikua wana refer matukio basi angesema kwenye tukio flan DAUDI BASHITE alikua sehem flan.... Huyu bro ni msukuma mwenzangu huko huko kolomije so sihitaji kwenda tena kuulizia gwajima yupo sawa 100% aombe msamaha watu aliowachafua hakuna cha madawa wala nini....
 
Acha kujipendekeza mkuuu! !! Nikajua umekuja na fact kumbe meleta story tu.....Declaration of interest naomba kujua huo uandishi wa habar ni wa certificate au diploma au kma degree chuo ganiiii. ........maana naona umeandika vumbi tu hapo! !!!!!!!
 
Gwajima ni jirani na Bashite huko katika himaya ya Kolomije haya yote ameyafuatilia kabla ya kumwaga mboga.
Naona umesahau la kwenda mahakamani kudodosa, kuhusu kiapo cha kubadili majina ya Daudi Bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…