Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Duuhh kumbe ni huyu jamaa ndo kaandika pumba. Hata yy hajathbitsha anachokiamini... Mwambie alie kutuma ajipange upya
Inaonyesha namna gani mlivyo na IQ ndogo

Mleta thread anahoji kwanini nyie mnayemtuhumu makonda msiende kijijiji kwao kupata taarifa kamili ili ijulikane ukweli,sasa paschal athibitishe nini kwani yeye ndio anamtuhumu makonda?

Yani nyie mngekuwa mahakamani kesi ingekuwa dismissed.

Paschal kaonyesha njia nendeni kolomije na huko ukweli mtaupata hii ya kupiga soga jf haitowasaidia
 
Hahaha hahaha paskali bado unaendeleza kejeli zako....daudi bashite kazi anayo sehemu zote hizo akafute nyayo zake...
 



Nilidhani kakupa japo Form Four Index No. ili tukajiangalizie wenyewe matokeo,kumbe umekuja na porojo? Njaa hizi zitatuua
 

Hahaaaaaaaaaaaaa! Ase . Kweli viwanda tutavisikia kwenye Bomba.
Yaani hili tetsi la RC kutumia cheti cha mtu (not proofed) -haina masilahi mapana kwa Taifa?
Haya bwana mwandishi na member mwenzetu jikite huko kwenye maendeleo na hili waachie wenye kuhusiana wewe usitie neno.
 
Yaelekea wewe ni kanjanja uliyepewa kitu kidogo ili utumie ukanjanja wako kumsafisha.acha kuinajisi taaluma ya uandishi wa habari.
 
Chadema: JK alisema ana majina ya wauza dawa za kulevya kwanini serikali isiwataje hadharani ili watanzania wawafaham na serikali iwashughulikie ipasavyo

Makonda: Wema,TID, chid benzi,lulu diva,rommy jons, nk

Chadema: Hii serikali ni ya ajabu sana yaan inawataja watumiaji na waathirika wa madawa ambao badala kuwapeleka soba wao wanawaweka mahabusu, tunataka muwataje mapapa sio hao wagonjwaa.............

Makonda: Manji, Azan, Gwajima, Mbowe nk

Chadema: Makonda alinunua cheti cha mtu cha elimu, yeye jina lake kamili ni Daud Bashite, Rais mtumbue, mtumbue

Makonda&watanzania wazalendo: ???????

Chadema: Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite

Unadhani chadema wanataka nini????
 
Weka orodha ya watu waliokwenda vijijini, shule na vyuo wanapotoka Zitto, Mwigulu na Luhende. Hawa walituhumiwa, kwa kujua nafasi zao na political career yao walijitokeza kujibu wakiwa na uthibitisho wa vyeti. Mzee, RC aje hapa aweke vyeti hadharani.

 
paskal Mayalla unanikumbusha ile stori ya kitoto ya jamaa mmoja ambaye jirani zake mmoja alikua ana harusi na mwingine akawa amefiwa na mwanaye.
Basi kwa kuwa ni pazia tuu lilikua limewatenganisha jirani na alikua anapaswa kuhudhuria kotekote ikabidi jamaa aelekeze uso wa huzuni kule kwenye msiba na huku kwenye harusi akiachia mauno/makalio yakikatika mbaya kabisa.
 

hahah Kweli Pascal humtakii mema Basheti . Unadhani watu hawajafanya hayo ? kla kitu wameshafanya ndio mana wakaja na tuhuma hizi...Wanajua kuwa dada yake haitwi makonda wala kaka yake haitwi makonda. Hata akibatizwa jina la ukoo haliyayuki linabaki.
kwa ufupi amegushi ...na yeye anatakiwa atupatie kanisho kwa uthibitisho.tunahitaji
cheti hali cha kuzaliwa tena sio kiwe kimetolewa juzi
tunahitaji cheti cha kumaliza darasa la saba
tunahitaji cheti cha F4 cha leaving na NECTA
tunahitaji cheti cha vyuo vyote alivo jiunga
tunahitaji kujua kama alifeli aka disco Moshi chuo cha ushirika je kigezo gani kilitumika akajiunga tena kwa kozi nyengine bila ya kukaa miaka 5 kama sheria inavotaka..jee kozi zote hizo aliomba kwa jina moja ?
onus of proof iko kwake...wananchi wanamtuhumu hawaezi kupata vyeti vyake lakini ushahidi wa watu wakaribu kwake ndio waliovujisha haya.
wala hakuna adui kwake, yeye ni adui yeye mwenyewe na staring ni mwenyewe kutokana na ufanyaji wake wa kazi ambao ni wazi ana lengo la kutaka kumpindua majaaliwa...hili ndo lengo lake.hivyo adui ni yeye mwenyewe kutaka mambo kwa puap.
na ama kuhusu madawa hakufanikiwa lolote zaidi ya kusababisha kukigawa chama chake na kuonekana kituko kutaja watu kwa mbwembe na baadae wote tunakuja kuambiwa ati ni wavuta bangi.....bangi ni mboga tu ..inalimwa kila kona ...
msafirushaji yupi amekamatwa na kupelekwa mahakamani ? hakuna lengo lake ni kujipa ujiko ili anadhani atauopata uwaziri mkuu.
kufkia nafasi za juu hakutaki pupa...tuangalie tu historia ya wakubwa wa nchii hii hakuna aliefanya pupa ya kutaka urais wala uwazi mkuu , ni kazi zako na uweledi wako na sio kutukana watu hadharani
Majaliwa hakuna aliejua atakuwa waziri mkuu
hivo hivo SUmaye
hata kina Malechela, msuya, kawawa,sokoine wote wabeibuliwa froom no where
hata ukija kwa marais wetu Kuanzia Mzee Mwinyi, Mkapa Kikwete na sasa Magufuli wote hawakufanya pupa.
mshauri arudi tena shule akajifunze njia bora za kupanda nafasi za juu , njia anazo tumia walitumia watu aina ya sadam , hitler, iddi amin, ghadafi, mabutu,na kama hao.....Tanzania hatuhitaji juhudi za mtu kuwafikia hao
kazi njema
 
[HASHTAG]#Pascal[/HASHTAG] mayalla...mzee wa kungata na kupuliza aka kinyonga

Ova
 
Wewe njaa tu inakusumbua,endelea kumliwaza huyo msukuma mwenzako lakini ukweli anaujua na unamuumiza sana.Maumivu ya kisaikolojia ni mabaya na yanaumiza kuliko maumivu ya mwili (physical),hivi awamu hii inavyopenda misifa na makamera wangeweza kunyamaza kwa tuhuma kubwa kiasi hiki.
Ok!tuseme jamaa kasingiziwa na yeye akaamua kunyamaza na watu wakabaki wanaamini hivyo hivyo,unafikiri atapata wapi tena uajsiri w kusimama na kusema eti kwenye mkoa wangu kuna wafanyakazi hewa kadhaa,ataongea nini mbele ya walio chini yake wenye elimu zilizonyooka? ukweli ni kwamba Daudi yamemkuta na unachokifanya Paskal ni ile mvuna janga hula na wa kwao!!. Over
 
Mtoto kumdanganya mtoto mwenzie tunasema mtoto anacheza, Mtoto kumdanganya mtu mzima tunasema mtoto anakua lakini mtu mzima kumdanganya mtu mzma mwenzie kuna walakiniiiiiiiii[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…