Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Pascal utatukanwa bure na hiki kizazi cha kuamini screen shot za Mange. Watu hawajui ktk ulimwengu huu wa digital watu wanaweza tengeneza account fake ya mtu mwingine wakafanya impersonation na kumchufua mlengwa. Kama unaweza kumtengeneza Marehemu Paul Walker ktk movie ya Fast n Furrious akakamua vibaya sana wakati alishakufa ila kachomekewa mtu mwingine na watazamaji wasione tofauti ujue mengi yanawezekana kuwa manipulated and Fubricated. Akili za watanzania wengi zimeachwa nyuma sana ya ulimwengu wa digital wataendelea kuaminishwa mengi yasiyo ya kweli au ya kweli yatapotoshwa na wao watakubali upotofu. Lakini la Bashite linahijati uangalifu sana kulikanusha au kuliamini. Muda utahamua ukweli ni upi.
 
Nothiing tangible
 
gwajima kishapita huo mtiririko wote mkuu Sie wengine tushaamin kwakua mwenyew hajajtokeza kukanusha matomaso bado hawajaamini.bs kwaresma njema kwako mkuu
 
We endelea kumchuza Dogojanja amute tu hivohivo afu kitakachotokea na matokeo hasi msilaumu mtu.
Ameshapewa ushauri ajitokeze kauchuna.
Hivii Mayalla unataka tuelewe kuwa hawawaliojitokeza kuwa wanaushahidi ni wapumbavu?
Nikimaanisha MCHUNGAJI GWAJIMA na wenzake wote wenye kusoma nae la kwanza mpaka la nne akazungusha.. anaenda kusoma tena mwanza sijui nayo akazungusha.
Huu ushahidi ndo tunautaka utolewe tujue dogo ni DAUDI BASHITE au Katengeneza Makonda
Mke wake katupiamo kapicha haka hebu jionee unijibu... ila ameshakfuta kwenye account yake insta[emoji196]
 
unajishushia heshima bure kutetea ujinga bora unyamaze unaaibisha taaluma ya habari kanjanja wewe
 
Uyu jamaa bana[emoji3][emoji3][emoji3]
Maswali ambayo iltakiwa uulize ww unatuuliza sie?
We si mwandishi wa abari ..kaulize ww
Sjui ni akili au matope kuja kutuuliza sie
 
Pasco umeshapewa kiwanja kibada au nyumba ya TBA Boko. Naona unakuja kumsafisha mh Bash.....
Rejea kauli ya Polepole " Fisadi EL hasafishiki" sasa hapa Daudi wa bashite hasafishiki kwa hili otherwise alivyonguli wa kuita press conference hata kwa majina ya nickname sasa hili jina limekamilika la kikatoliki aliitie press conference aoneshe magamba yote.
Rejea kauli ya ndalichako wanourudia hawafai kwenda university kwa cv ile ya gwajima huyu ndugu bashite ameskip play sana hakufaa kwenda university. Ovaa
 
mkuu Paskali. unaowaita wazushi, waongo, etc wala hawana pressure saa hizi. wala hawahitajiki kuingia gharama zote hizo kufuatilia hayo madude uliyoyaorodhesha. what for? wacha waendelee kumponda mtuhumiwa wao tu kwa raha zao!

it's on the onus of mtuhumiwa mwenyewe kujinusuru kwenye hili "shimo". kama ilivyokuwa jukumu la wale watuhumiwa wa ngada aliowatangaza hadharani walivyopaswa kujinusuru wenyewe kutoka "shimoni"!

what goes around.........
 
Pasco jaribu kuficha Njaa yako sasa hii habari si kwa masilahi ya Taifa bali ni kwa masilahi yako binafsi kwani unalipwa na GSM ili umtetee makonda, hakuna mtu wa kupuuza juu ya vyeti vya makonda kwani kama ni chuki na Wivu makonda Daudi Albert ndiyo kaanza kuwafanyia Manji, Gwajma na mbowe, tambua kuwa boss wako wa fursa kipindi hiki watu wanajua kuwa wazee wa fursa mpo nae mnavuna pesa zake, utetezi wenu juu ya makonda hautakubalika kamwe na watu wanawachapa mpaka makonda awadai pesa zake.
 
Kumbe na wewe umemsoma morenja. Paskali ni Mwandishi wa Kujitegemea, kashasoma Upepo.

 
Wewe uliyekwenda kijiji cha kolomeja ukawahoji wazazi wake na kwingine unakosema wenzako walitakiwa wakathibitishe Kama ni kweli Makonda ana tumia vyeti vya mtu mwingine,ulipowauliza walikwambia Makonda ana singiziwa?.
 
Mimi nakuuliza suala,Ni Kwa nini wananchi wanapiga kura kuwachagua wabunge,na wabunge kuwachagua Mamet a wa miji???jee kulikuwa hakuna haja ya kuchagua meya Kwa Kura za wabunge?? sasa mlipokosa kule mkampa uluwa RC,kwa nini mkakiuka sheria za maadili ya utawala wa uongozi,ambapo Meya alitakiwa meya alitakiwa awe juu ya RC kwa mkoa ule husika,sasa matokeo yake ndio haya RC anageuka mahakama,anatoa mpaka Summons ya maneno tuu,Jamani,ili aonekane yupo juu anafanya kazi zinazomuhusu na zisizomuhusu,yote haya kuonesha awe juu tuu,mambo hayendi hivyo,suala Nani aliyempa uwezo kukiuka sheria afanye yote haya,nasikia siku hizi hata DC anatoa samansi yamtu akamatwe,akichukia tuu anatoa hukumu,jaman
 
Umeandika vizuri kwa wenye akili ndogo hawatokuelewa wataishia kutoa mapovu na matusi lkn kiuhalisia wewe ni mchokonoko na si mtu mzuri kwa mungu wa daersallaaam.
 
Waandishi wote wakiandika namna hii watapigwa mawe, maana angalia waliomuelewa katika huu uzi ni wangapi
 
Dah! Yaani hujaeleweka na wote hawa! Jamani wandugu maana yote ya Pascal ipo hapa: "....jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa 'tell the truth and the truth will set you free' ni msemo wa uongo". Maana yake ni kinyume kabisa na kumsihi eti aendelee kuwa kimya kwani mayalla anamuonya kuwa kwa kuwa kwake kimya kamwe hatakuwa huru.
 
Mayala unamtisha Bashite, sisi tumekuekewa sana kwamba asipojitokeza watu watafanya hiyo kazi,watafanya uandishi wa kichunguzi na ndo itakuwa mwisho wa kujificha kwenye shamba la viazi, kumbe ni bora ajitokeze kabla kazi haijafanyika. Bashite toka hadhari usije ukaumbuka
 
Hii safi kaka. Tofauti ya watanzania na watu wengine wa afrika mashariki ni kuwa, watanzania ni wavivu sana wakufikiri na kufanya utafiti. Tunapenda sana kuamini vitu pasipo kufanya utafiti. Swala la elimu ya mtu si swala la kujificha. Kama gwajima anavyo vyeti si aweke hapo.kwa nini apige kelele tu. Mbaya zaidi mwanamke kimavi yupo USA anaaminisha watu wengi vitu ambavyo sio vya kweli. Watu wameshindwa atleast kumuhoji kimavi au gwajima, mnakubali tu moja kwa moja. Tubadilikeni jamani zama za ndio mzee zimeshaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…