Kumbe nimemkaribisha nyoka!!

Kumbe nimemkaribisha nyoka!!

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
258
Kuna tabia ya zamani kidogo ambayo sio nzuri, eti mtu anakwenda na hawara nyumbani kwa mke wake au mume wake na kumtambulisha kwamba huyu ni wifi yako au shemeji yako.
Hivi kweli huu ni uungwana, nauliza tena huu ni uungwana? unashindwa kumalizana nae huko unamleta nyumbani?
Tancut Almas waliliona hilo hebu bonyeza hapa
Leaving Facebook... | Facebook
 
Yaaaaaaaani post za leo!!, mi naona kuzunguzungu tu.
 
Sio bure yamemkuta huyu, tumpeni pole jamani.
 
Hayakunikuta ndugu, nilisikiliza huo wimbo nikaona niwakumbushe jamaa na marafiki wenye tabia hii si nzuri, Mimi ni Mwanaume ninaejali!!
 
Kuna tabia ya zamani kidogo ambayo sio nzuri, eti mtu anakwenda na hawara nyumbani kwa mke wake au mume wake na kumtambulisha kwamba huyu ni wifi yako au shemeji yako.
Hivi kweli huu ni uungwana, nauliza tena huu ni uungwana? unashindwa kumalizana nae huko unamleta nyumbani?
Tancut Almas waliliona hilo hebu bonyeza hapa
Leaving Facebook... | Facebook

Watwange ngumi, hawana adabu!
 
Back
Top Bottom