Kumbe ningelikuwa na watoto zaidi ya billioni?

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...

EBANA SAWA:
Mnajua ngoja niwaambie kitu kimoja.
Wangapi wanaijua punyeto? Acheni makelele nyoosha kidole juu. Kumbe wote basi vizuri sana.

SASA ISSUE IKO HIVI:
Mimi Nimeanza kupiga nyenye toka niko standard seven mazee. Fika secondary na vile single sex pale Tabora Boys piga sana mabafu ya Umuofia mle, Kimweri, na milambo. Haya advance ILBORU pale piga sana nyenye mabafu ya Kibo na Mawenzi pale Chuo sasa acha kabisa, mabafu ya Bibo pale block C D na E karibu yote nimepiga sana nyenye mazee acheni tu (Engineer nilikuwa bize sana na desa mademu tupa kulee) Nenda kule main campus Hall six piga sana nyenye.

SASA BASI:
Dr Charles Landmann kutoka Chuo kikuu Oakland anasema kwa wastani mwanaume anapo rusha wazungu fyaaaaa (kila mrusho anatoa wastani wa Mililita 3 za wafilipino). Na kila Mililita 1 ina almost wafilipino 66 million. Hivyo kwa hesabu rahisi ambayo hata mtu wa UDBS, CASS, COHU na LAW hawezi kupata Supp ni kuwa kwa kila mrusho nilikua natoa wazungu zaidi ya 180 millions.

What a loss!
Yaan toka darasa la saba mpaka namaliza miaka 4 ya engineering nimepiga nyenye mara sijui tisi na ngapi. Hebu zidisha hapo na hao watoto 180M, uone watoto wangapi nimewapoteza.

Leo hii ningelikua na watoto zaidi ya billioni na ushee huko.Mpaka sasa sina mtoto hata mmoja.

Au nyie mnasemaje (wanawake piteni kimya kimya)

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Vp ushapata dem au upo kwenye foleni
 
Hao watoto ungewazaa mwenyewe au ungewapata na mwanamke?
 
Ulipoteza energy kubwa sana , kumbuka mshindo mmoja ni sawa na kukimbia km 20 . Nina maana akili ilifanya kazi sawa na aliyekimbia km 20, mda wote umeshakimbia km ngapi bila kijijua? Njia ya Mungu nguvu yake ni ndogo kwani ukigusa tu inajipa. Badilisha wanawake wapo wa kutosha unawanyima haki yao ya kimsingi!! Mungu anakuona ujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…