technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Anajua kila kitu ni kushupaza shingo tuHivi mgombea yy anaweza asiwe na hiz fununu?
Kwanini wasifanye counter attack tusifike Hadi kwenye maandamano?
Hivi mgombea yy anaweza asiwe na hiz fununu?
unajua wanaogopa kufanya counter attack coz wanaeza jikuta wenyewe tu! Lakini wananchi wakiandamana, wanawapa nafasi ya kusababisha wakijitetea ni umma ndo umeamua!Kwanini wasifanye counter attack tusifike Hadi kwenye maandamano?
Kupinduliwa huwa ni sawa na kuchapiwa, ambapo unakuta kila mtu mtaani kwako anajua kuwa unachapiwa , lkn anayechapiwa hajui.Hivi mgombea yy anaweza asiwe na hiz fununu?
Mitano tena kumamaeee
Dah,Anasema hakuna Polisi,TISS au JWTZ atazuia maandamano kaenda mbali kanishangaza baada ya kusema hata Polisi wanajeshi na TISS wanaweza kuandamana siku hiyo wakiwa wamevaa kiraia.
Usichukue fomu, usichukue fomu....kachukua fomu. Usipige kampeni usipige kampeni...Anaendelea na kampeni...Sasa wanamtandao wanakuja na jipya...... Eti mtego..... Du! wasaniii hawakosi kujipongeza, Sasa nimeamini kuwa TZ kufa kwa preasure ni kujitakia.Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS
Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea.
Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha.
Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha wanafanya kuipush ila ni agenda ya Taifa.
Anasema hakuna Polisi,TISS au JWTZ atazuia maandamano kaenda mbali kanishangaza baada ya kusema hata Polisi wanajeshi na TISS wanaweza kuandamana siku hiyo wakiwa wamevaa kiraia.
Taifa linakombolewa amkeni msilale ndani amesisitiza mkishndwa itabidi wamnani anasisitiza.