Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Unaejua sasa ungeongea tujue nasiWASIOJUA MPIRA HUONGEA HAYO.
Tuacheni unazi,mimi ni Simba damu lakini Chirwa ana jicho la kuliona goli.Ni natural striker anayelijua lango lilipo.Jambo la kushangazi limeibuka laeo katika mchezo wa Yanga na kiluvya ambapo chirwa amefunga goli nne peke yake na kuonekana kama ni mshambuliaji hatari sana katika nchi hii ya Tanzania nikaja kukumbuka kuwa kumbe kawafunga kiluvya matokeo ya jumla Yanga Ameshinda 6 DHIDI ya goli moja la kiluvya mchezo uliochezwa uwanja wa uhuru ngoja tusubiri ushambuliaji wa chirwa dhidi ya Azam Fc
na ww ni mmoja wa Ndala za Manji acha unafkiTuacheni unazi,mimi ni Simba damu lakini Chirwa ana jicho la kuliona goli.Ni natural striker anayelijua lango lilipo.
Kichuyaaaaaaa!!!!!Mtoa mada ukinijibu hii Swali basi wewe mpira unaujua...Hivi ligi ya Vodacom kati ya Obrey Chirwa na Mavugo nani ako na magoli mengi zaidi?
Mimi ni Simba pure na ni mwanachama.na ww ni mmoja wa Ndala za Manji acha unafki
Chirwa anawafunga kiluvya Fc goli nne mbona hafanyi hivyo ligi kuu kaka mavugo na chirwa ukiwalinganisha mavugo yuko mbali sanaMimi ni Simba pure na ni mwanachama.
Hizo porojo zako ndo zinachelewesha mpira wetu hapa Tanzania.
Mada yako haikulenga kuwalinganisha Mavugo na Chirwa.Chirwa anawafunga kiluvya Fc goli nne mbona hafanyi hivyo ligi kuu kaka mavugo na chirwa ukiwalinganisha mavugo yuko mbali sana
Umeandika mashuduMavugo ndio mwenye uwezo Chirwa hamnakitu
porojo zipi ww tejaMimi ni Simba pure na ni mwanachama.
Hizo porojo zako ndo zinachelewesha mpira wetu hapa Tanzania.
Mavugo ana magoli mangapi VPL ?na Chirwa amefunga mangapi...Bashite weweChirwa anawafunga kiluvya Fc goli nne mbona hafanyi hivyo ligi kuu kaka mavugo na chirwa ukiwalinganisha mavugo yuko mbali sana
Kuna kufunga magoli na kupachika magoli .Jambo la kushangazi limeibuka laeo katika mchezo wa Yanga na kiluvya ambapo chirwa amefunga goli nne peke yake na kuonekana kama ni mshambuliaji hatari sana katika nchi hii ya Tanzania nikaja kukumbuka kuwa kumbe kawafunga kiluvya matokeo ya jumla Yanga Ameshinda 6 DHIDI ya goli moja la kiluvya mchezo uliochezwa uwanja wa uhuru ngoja tusubiri ushambuliaji wa chirwa dhidi ya Azam Fc