Odama ndo nani?????
Mwenzenu Sijaona point hata moja kwenye hii thread.
salama mrembo?[/QUOTE
Mi niko poa sijui wewe.
Mxiuuuuuuuuuuuu......
Kwa hiyo woooote mnaomshambulia mtoa hoja mnaona mtu kuzalia home ni halali bila ya ndoa?
Ama kweli peponi wataenda wachache,tena mnakomaa ulitaka asizaeeeee?
Sasa haramu umekua halali.
Mkuu,mie sijadili mtu,hili ni jukwaa la celebrities,ambamo tunapata habari mbalimbali za mastaa,nami nimetumia uhuru wangu wa kupasha habari nilionao kwa mujibu katiba,sina chuki na huyu binti,na hapa nimeficha mengi mazito yanayomhusu odama kwa kustiri tu hadhi yake ktk jamii,na si kumchafua kama wadau wengine humu wanavyodai.
Yaani ulichoongea kinatokea kwa wanawake karibu wote duniani, including dadako (samahani lakini). Yaani huko kuzaa na mume wa mtu ndo basi tena kunatosha kumfanya kuwa "mshenzi?" Kuna wanawake wangapi ambao wamezaa na wanaume za watu? Yaani unavyoongea as if ulitarajia huyo Odama hadi leo awe bikira vinginevyo huo ukicheche uliotukuka sijui uko wapi wakati hata wewe mwenyewe umeshindwa kuithibitisha na kuishia kusema "Yusuf Mlela na wengine....!" Kwa haraka haraka hapo, ni kwamba umeonesha wanaume waliowahi kumvua nguo ya ndani huyo Odama ni wawili tu... Mlela na huyo aliyempiga mimba! Kwa umri wa Odama, hata akama ameshavua kwa wanaume watano, bado ni acceptable number... kama unabisha, wadada wa JF walio rika la Odama watoe ushuhuda hapa coz' for what I know, yule dada anakimbilia 30!
Ngoja nikuambie jambo moja... kwa jinsi ulivyoandika thread yako tayari umeshampa credit Odama... how? Katika haya mambo hakuna cha Sheikh wala Padri... itakuja kuwa msanii? Kinachotakiwa kwa watu kama hao ni usiri ambao ndio unafanywa na Odama... gawa alinjembwele upendavyo, lakini gawa kwa staha na sio kila mtu afahamu kwamba ni mgawa alinjembwele maarufu... magazeti yote ya udaku yanafahamu kwamba jana umetoa alinjembwele kwa fulani na juzi kwa fulani! Huyo Odama tayari amedhahirisha kwamba yeye ni kioo cha jamii manake hata wewe umeshindwa kutaja aliowapa alinjembwele na kuishia kumtaja Mlela na yule aliyempiga mimba! Kwa jinsi Odama alivyo mzuri, am sure atakuwa amepigwa na wanaume zaidi ya watano... lakini hatuwafahamu... na hivi ndivyo anavyotakiwa kuishi yule anayeamini ni kioo cha jamii.Ulichoongea ni sawa mkuu,mimi nime base kwa hoja ya yeye kuwa mfano wa kuigwa na jamii maana ni role model,haijalishi age yake,kuwa star ni msalaba mkubwa sana.
Ngoja nikuambie jambo moja... kwa jinsi ulivyoandika thread yako tayari umeshampa credit Odama... how? Katika haya mambo hakuna cha Sheikh wala Padri... itakuja kuwa msanii? Kinachotakiwa kwa watu kama hao ni usiri ambao ndio unafanywa na Odama... gawa alinjembwele upendavyo, lakini gawa kwa staha na sio kila mtu afahamu kwamba ni mgawa alinjembwele maarufu... magazeti yote ya udaku yanafahamu kwamba jana umetoa alinjembwele kwa fulani na juzi kwa fulani! Huyo Odama tayari amedhahirisha kwamba yeye ni kioo cha jamii manake hata wewe umeshindwa kutaja aliowapa alinjembwele na kuishia kumtaja Mlela na yule aliyempiga mimba! Kwa jinsi Odama alivyo mzuri, am sure atakuwa amepigwa na wanaume zaidi ya watano... lakini hatuwafahamu... na hivi ndivyo anavyotakiwa kuishi yule anayeamini ni kioo cha jamii.
Mi jina lake lingine silifahamu.... nafahamu hilo hilo la alinjembwele.Alinjembwele.!!!!?????
Ndio nini mkuu.
Alinjembwele.!!!!?????
Ndio nini mkuu.