Kumbe Pan African Energy wanatumia fedha ya Tanzania kuendesha mradi

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Live toka bungeni Jan Makamba anatuabalisha,ela tulikopeshwa na world bank na wakatupa sharti la kutafuta kampuni binafsi.Ndo hawa pan africa.
Unajua wanavyotuendesha nilidhani ela zao,yaani ela zetu alafu wanaleta za kuleta na kutuma mail za vitisho kwa wabunge kuhusu wizi wao.
Yaani Tz tumelogwa au?
Na bado wanaendelea kutuliza wameinject ela kwa mradi huo bila serikali kujua lengo ni kuraise share zao ili mradi ukibreakeven wao wapate gawio kubwa.
Mbaya zaidi wameinject iyo ela bila kuwafahamisha Serikali uhuni huu
 
Walipe hizo hela na kufukuzwa mara moja, tujenge bomba letu wenyewe, ndio maana walikuwa wanahaha kwenda bungeni na Ikulu kwa Vasco...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…