Kumbe PERCY TAU hana kazi je yule hatufai sisi SIMBA?

Timu yenye malengo ya kupambania makombe ya ndani na nje ya nchi utaiona wazi kwenye sajili zake. Simba washambuliaji wa kati wawili mmoja wa ndani na mwingine mmoja wa nje na wote tia tia maji maji. Yanga washambuliaji wa kati wanne wawili wa ndani na wawili wa nje na angalau wawili wameshaonyesha wapo vizuri.

Kingine akisajiliwa Tau japo ni winga lakini anaweza pia kucheza pale kati vizuri tu maana yake Doumbia akae benchi msimu mzima kitu ambacho sidhani kama waliomleta wanaweza kukubali hiyo aibu. Kingine jamaa dau lake na mshahara wake umechangamka sana kwa timu inayopenda zaidi free agents.
 
Umri wake wa kwenye passport ni miaka 32, huku akina Chama wakimzidi! Amejifanya mjuaji kuondoka Al Ahly na kwenda Vietnam! Huko nako akaangukia pua.

Ligi yetu haimtupi mtu. Angekuja kuchezea simba au Yanga angefurukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…