Yaani kumbe hizo photo shoot zao wanafanywaga namna hii?? aiseeee huu ni udhalilishwaji wa hali ya juu.....nilikuwa nasikiaga sikiaga aiseee kumbe kweli eeeh!!!!!! mamaaaa yangu
hebu angalieni hizo......kumbe kuna mambo mengi ya wanaharakati kuyatetea zaidi ya haki za kuwa wanaume mbele ya wake zao....
aiseeee