Kumbe Rais Samia Suluhu Hassan ni Jabali?Atajwa Miongoni mwa Wanawake Majabali 10 wa Afrika ambao ni Marai. Je, 2025 Wa TiZii Tufanye Kweli?

 
Cool bro
 
Mnaodhani brother paskal ni chawa mumedanganyika au mnambandika?
Mbona kama anamkandiya mama?

Kwa nilivyoelewa mimi ni kama anampiga vita?
 
Sasa mbona habari ni ya 2021 takribani 3 years back, then Advocate ndo unaileta leo????
 
Mbona Kama unajiaibisha. Leta mambo ya maana. Haya Mambo ya yule Lucas ndio level yake. Na wewe!
 
waTanzania hawatafanya makosa.
wako sambamba na Dr Samia Suluhu Hassan mpaka ukamilifu wa dahari.

Hata hivyo,
kwa faida ya wadau,
huyo mumama wa Ethiopia sahle Zewde alishabanduliwa hivi majuzi baada ya kuleta kiburi na kutofautiana mambo kadhaa na PM Aby Ahmed..

kwa sasa Rais wa Ethiopia ambae tayari amethibitishwa na bunge ni mbaba moja hivi anaitwa Taye Atske 🐒
 
Acha kupotosha umma, watanzania wa leo hawadanganyiki ww endeleza uchawa kuna cku utalaanika
 
Kwa utekaji na mauaji haya, apumzike. Nchi hii haitaki kuongozwa kwa uharakati wa kumkomboa mwanamke. Tz yenye watu milion 60+ itapata rais anayefaa. Tusimchague kwa sababu ni mwanamke.
 
Unajua mkuu, ukiandika jambo la kichawa, litajieleza lenyewe na ukiandika mada ya kisomi, kiutafiti na kiuchambuzi pia itajieleza yenyewe. Uchawa humfanya mtu mpaka utaalam, usomi, uchambuzi wa makosa na ukweli wote akauweka pembeni. Ndiyo maana andiko la kichawa humu hubezwa, husutwa na kudharauliwa haraka na members. Ukitaka kujua umeandika pumba hesabu comments, japo ninavyokufahamu kwa umakini wako, unafanya makusudi.
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Mnataka awe Chawa wa Simba na yanga au wa LISU!!! lkn sio kiongozi wa nchi!!

kweli wajomba mnataka abaki kama alivo asipumue kipesa kama zamani!!!

shida anazopitia kakayao RASCAL kila akijaribu kuvua koti la matatizo!!

wajambo!! nuksi sana hoooo njaaaa hooooo umekuwa Chawa
basi muwe
waungwana kwa PASCAL

shida aina mwenyewe!!! Lengo lenu asa nn vijana maisha akiwa time Lisu sio chawa.!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…