Kumbe Reinfred Masako huigiza sauti yake!

Bukwabi

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
3,352
Reaction score
1,148
Kupitia Mkasi ya leo ya EATV Masako amedai ile sauti ni creativity ili kuvutia wasikilizaji na watazamaji wa vipindi anavyoviendesha.
 
Na Maratooo...naye anaigiza? Ile sauti...natanguliza kuomba Mungu anisamehe tu jinsi inavyonikera....
 
mimi ni George maratuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
mimi ni George maratuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!

kama lichoko vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…