Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Prof.Ana TibaijukaRwami pale round about[emoji28],hakika bkb ni zaidi ya new york.
Prof.Ana Tibaijuka
Kwa hiyo hapo ni Bukoba?Ulitaka kusema nini? Hapo Max kaenda kuonana na Kiranga na John Mashaka
Itabidi kesho nikwee pipa hadi Bukoba nikapaone πRwami pale round about[emoji28],hakika bkb ni zaidi ya new york.
Huwapendi wasomi nambari moja TZ.Wahaya mngekua mnawekeza kwenu kamji kangeendelea...ila kamjii kote sehemu nzuri ni mbili tu! Hata kule Walk guard wamebaki ngedere tu!
Wewe wasema, mimi nina 'Interest ' binafsi na wahaya, tuliaHuwapendi wasomi nambari moja TZ.
Acha chuki ndugu.
Ni wapi hapo?Hapo si kyaka
Sawa acha nitulie πWewe wasema, mimi nina 'Interest ' binafsi na wahaya, tulia