Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Umeambiwa hivi ili binadamu afe nilazima pawepo na shambulio la moyo, watu wanachotafta ni hilo shambulio la moyo limesababishwa na nini?

Shambulio la Moyo linasababishwa na sababu lukuki zikiwemo kuwepo kwa historia ya magonjwa ya Moyo katika miaka ya karibuni au wakati huo huo, sababu nyingine ni matatizo ya damu kuganda pasipo kufuata utaratibu wa Mwili(Coagulation disorder or Coagulopathy) na Nyingine uwepo wa Mafuta mabaya (Bad cholesterols) kwenye mishipa ya damu iliyopo kwenye Moyo na sehemu zingine za mwili..!
 
Acha uzwazwa unajua incidence ya kutokea cardiac arrest. Ficha upumbavu wako?

We ndio ufiche upumbavu wako, hivi unahisi Utendaji kazi wa mwili ni sawa na vile akili zako mbovu zilivyo. Mwili ni systematic na wakati mwingine magonjwa kama hayo hayo hutokea idiosyncratically.
 
Basi hujui maana ya cardiac arrest; na usiombe ikukute, kwa sababu ndiyo chanzo kikuu cha vifo tunavyoita vya ghafla.
Basi mtakuwa mnachanganya heart failure na cardiac arrest, heart failure inaweza kuwa chronic ndo unakuta mtu ana tatizo la moyo la muda mrefu. Sasa unaweza kupata acute/peracute heart failure ambayo mtu anafariki ghafla, mfano akiwa usingizini, nafikiri hii ndo nyie mnaita cardiac arrest. Nafikiri Nguruvi3 yupo well infomed kwenye hilo eneo ni kuwa mpole tu uweze kuelimishwa, hakuna haja ya kubishana..
 
Yap upo sawa kunakuwa na - entry trigger desease
 
Kama ww ni Dr big up sana kwa ufafanuzi,
lkn kama ni lihuni la mtaani limevamia proffession za watu.....
basi kwenda zako.....
 
Mzee ameondoka na CHANGAMOTO YA UPUMUAJI, chukue tahadhali corona bado ipo sana tu.
 
HOSPITALI HAINA JINA?
 
Yawezekana hakufia Hospital ya serkali.
 
KWANI WATU WOTE WANAOKUFA KWA AJALI WEWE HUWA UNAIONA HIYO AJALI? KUJUA KWAMBA MAREHEMU KAFA KWA UKIMWI ITANISAIDIA KUCHUKUA TAHADHARI NA KUWAELIMISHA WENGINE JUU YA HATARI YA UGONJWA HUSIKA. KWANI WEWE ULIPOJUA KWAMBA WACHINA WANAKUFA KWA WINGI KWA SABABU YA CORONA WEWE HAIKUKUSAIDIA KITU? UJINGA MWINGINE NI MZIGO MKUBWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…