Kumbe Saitoti aliuawa kwa Sumu?

Kumbe Saitoti aliuawa kwa Sumu?

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,199
Ukipata muda isikilize hii video hadi mwisho. I wish na Tanzania tuwe na investigative TV kama hii. Great job KTN.

Last edited by a moderator:
Kazi ipo huyu si alianguka na ndege sasa sumu inakujaje hapa
 
Nchi ya Kenya kwa vifo vyenye utata ndio nyumbani kwake,na sasa tunaomboleza kifo kingine chenye utata cha Mutula,kabla hajafa Mutula alijinasibu kwa mengi,alisema kwanza hata CORD isiposhika madaraka yeye atawa-impeach akina nonino,pia akamwambia mwandishi wa The Standard kuwa muda si mlefu ataleta Tsunami,na kabla ya yote keshatangulizwa mbele ya haki,ni vivo hivyo kwa Saitoti akina nonino waliona ni hatari kwao,nae akatangulizwa mbele ya haki,nafikiri kwa sasa waliomshindwa ni RAO tu.
 
Niliisikia siku nyingi, afu huyu mwandishi amekuwa akitishiwa sana maisha yake.
 
Ngoja nitulie nipate mda wa kuisikiliza vizuri ili nipate kitu cha ku-comment
 
Nchi ya Kenya kwa vifo vyenye utata ndio nyumbani kwake,na sasa tunaomboleza kifo kingine chenye utata cha Mutula,kabla hajafa Mutula alijinasibu kwa mengi,alisema kwanza hata CORD isiposhika madaraka yeye atawa-impeach akina nonino,pia akamwambia mwandishi wa The Standard kuwa muda si mlefu ataleta Tsunami,na kabla ya yote keshatangulizwa mbele ya haki,ni vivo hivyo kwa Saitoti akina nonino waliona ni hatari kwao,nae akatangulizwa mbele ya haki,nafikiri kwa sasa waliomshindwa ni RAO tu.

hawa vijana ni hatari sana..ni kweli jamaa alisema atawaimpitch pia nasikia alikuwa shahidi kule icc..ila kenya mnaongoza kwa kuwa R I P mashujaa wenu bana.ouko,mboya,saitoti,mutula nk.
 
iliwekwa kwenye ndege mkuu..cynide ni sumu mbaya sana.

kale ka kijana kasomali kana roho ngumu sana..ila watakuja wamuondoe.,unakumbuka ya jerry muro?
Ukiisikiliza vizuri hiyo video, ni dhahiri kwamba jamaa waliwekewa cyanide halafu wakafa kabla hata ya ndege kuanguka. So kuanguka kwa ndege ilikuwa ni kutekeleza hatua mhimu tu ya kile ambacho walishakifanya. Inasemekana kuna rubani aliyekuwa aende na saitoti lakini alijitoa dk za mwisho kwa kusingizia ugonjwa. Hii kwa kweli ni hatari sana. Naona ni style kama zilizotaka kuwaondoa akina Mwakyembe. Inaonekana mpanga mipango wa Tanzania alichemka somewhere. Kuwa mwanasiasa sometimes ni changamoto.
 
Sasa ile ajali ya ndege ilikuwaje?
 
Sasa ile ajali ya ndege ilikuwaje?
Waliwekewa Cyanide ikaanza kuwaua taratibu kwa hiyo waliporuka na ile ndege, dk chache tu wakiwa hewani, wakawa tayari wameshaanza kufa. Kwahiyo marubani wakapoteza uwezo wa kuongoza herikopta na matokeo yake ikaanguka. Lakini walikuwa wameshakufa tangu wakiwa huko angani, pale chini walikuwa wanaanguka kama sehemu ya kutekeleza wajibu tu, ili wapate kisingizio cha ajari. Lakini kama ingekuwa ni ajari ya kawaida, wangeweza kuanguka na bado wakapata majeraha na kupona. Lakini ukweli ni kwamba walishakufa tangu wakiwa hewani.
 
This is the most stupid theory I have ever heard. Please note you are not coerced to write something on this blog in case you have none. Stop your idiotic imagination.
 
waliwekewa cyanide ikaanza kuwaua taratibu kwa hiyo waliporuka na ile ndege, dk chache tu wakiwa hewani, wakawa tayari wameshaanza kufa. Kwahiyo marubani wakapoteza uwezo wa kuongoza herikopta na matokeo yake ikaanguka. Lakini walikuwa wameshakufa tangu wakiwa huko angani, pale chini walikuwa wanaanguka kama sehemu ya kutekeleza wajibu tu, ili wapate kisingizio cha ajari. Lakini kama ingekuwa ni ajari ya kawaida, wangeweza kuanguka na bado wakapata majeraha na kupona. Lakini ukweli ni kwamba walishakufa tangu wakiwa hewani.

kweli siasa ni mchezo mchafu. Hii yote ili asigombee urais.
 
This is the most stupid theory I have ever heard. Please note you are not coerced to write something on this blog in case you have none. Stop your idiotic imagination.

you may call stupid theory,lakini ukweli ndio huo..kumbuka madaktari walipofanya uchunguzi walikuta some sort of cherry in their blood..kumbuka daktari mkuu alipigiwa simu akiwa wanafanya uchunguzi..je ni nani alimpigia simu? Haya sio maneno yangu ila ni magazeti ya kenya
 
kwanini wasingewekewa POLLONIUM ili waende taratibu kama wenzao huku Bongo
 
This is the most stupid theory I have ever heard. Please note you are not coerced to write something on this blog in case you have none. Stop your idiotic imagination.

Sisi hapa tunapewa uhondo na wewe unasema idiot imagination na stupid theory. Hii inaharibu sana ladha ya story. Kwani wewe ni cyanide expert au ndio pilot aliye conveniently fall sick na akafeli kusafiri? Jieleze mkuu?
 
Atueleze mkuu,naona kaishambulia sana hii theory...jichopevu hajawai kufanya kazi ya kubahatisha..ni mmoja kati ya waandishi wanao heshimika sana kenya.,juzi kati hapa kamuonyesha mtoto wa kibaki akila raha na wale ma hit men for hire (arthur brothers) waliokuwa wameletwa kumuua odinga...ikumbukwe mke wa kibaki ni bonge la drug dealer..na saitoti alikuwa akasome majina ya dealers wote bungeni.
 
Saitoti was a very confident of kibaki and he was the only minister to hold two ministries at one time as minister of foreign affairs and interior affairs.....remember he was the person who put kenyan army in somalia and thus he had already created so many enemies in a country and outside.Besides, saitoti was a household name in kenya political landscape for many years who had a very small constituency......he did not have such a tribal clout in kenya at all even if he was able to contest the presidential electons, he would not have gathered even 10% of all the votes. Also politically, he already been damaged by Goldenburg scandal, therefore Saiatoti might have fallen pray for protecting key witneses of ICC cases and remember saitoti and kenyetta have never been friends or allies.He was the one got so angry with Moi after he had been outstaged by Moi in Kasarani to nominate Uhuru as his heir apparent and therefore probably he engineered his demise in such away all key witnesses of icc will now be scared to testify.But this theory of cynide or some crazy chemicals is a fallacy..... what might was to mess up the engine before it was boarded by these six people.All five people were burnt beyond recognition. saitoti jumped out of the chopper and he was found naked ....the whole body in pieces.....miwani kule.. left with only underware.....na pesa iko pale....
 
Back
Top Bottom