Kumbe science si kitu kwa Tz

Kumbe science si kitu kwa Tz

Ndugu wanajanvi, tangu matokeo ya darasa la saba yatangazwe, nimekuwa nikiwasaidia watu mbalimbali kupata matokeo yao kupitia cm yangu ya mkononi. lkn nimekutana na maajabu. Yaani mwanafunzi aliyepata Kisw D na mengine yote E, amepass kwa grade D. lkn aliyepata Science D na mengine E, ana Grade E. Shule ni Omundongo ipo mkoa Kagera wilaya Misenyi. Wanafunzi hao ni P.....-046 na P...- 38. Maanake mwenye possibility ya kuwenda O-level ni wa Kiswahili....!!!
Kwanza pole sana
Pili napataa shida kujua A inaanzia ngapi na B na C na mpaka F.
Hata mimi nina mwanangu amepata kiswahili B na mengine yote C na anawastani wa C. Sijui kwa kweli wastani wanacalculate vp.
 
Back
Top Bottom