Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Mahakama jijini Abuja, Nigeria, imeliamuru Jeshi la Polisi kulipa faini kwa kupuuza maagizo baada ya kukataa kumpa dhamana mwandishi wa habari na mwanaharakati Omoyele Sowore.
Omoyele ameachiliwa baada ya mahakama kutoa saa 24 aachiliwe, baada ya kushikiliwa kwa miezi minne. Mwandishi huyo anatuhumiwa kwa uhaini, utakatishaji fedha, na uchochezi wa kimitandao.
source: Swahili Times