1+1=2 ni kweli, but not always!!Hapa hakuna mchezo unaofanyika, sheria Ni sawa Na 1+1=2 Na si vinginevyo.
Mtu akikuambia kuwa subiri nikutafutie mwanasheria mzuri (ingawa sisi tunaamini wanasheria wote Ni sawa) hapo ameona kuwa Una haki lakini umeshindwa kuithibitisha au kujitetea mahakamani Na hii Ni kwa sababu, mahakama Ni chombo cha kutoa haki, Na Kina kanuni zake, sasa wengi hawajui hizi kanuni kwa sababu Ni suala la kitaaluma.
Hivyo unahitaji mtaaluma wa sheria Ili aweze kukabiliana Na legal technicalities Na court procedures Ili kuweza kukutetea.
Hiyo mnayosema ujanja ujanja si sahihi.
Hapo hapo mkuu,wapo wanaojua kabisa hii si mali yangu ila anajua kucheza na sheria na anajua kukabiliana na hizo legal technicalities na court procedures na anakushinda wewe mwenye uhalali wa iko kitu, sasa kauli yangu ya kwamba Sheria ni ujanja ujanja si iko sahihi ????Hapa hakuna mchezo unaofanyika, sheria Ni sawa Na 1+1=2 Na si vinginevyo.
Mtu akikuambia kuwa subiri nikutafutie mwanasheria mzuri (ingawa sisi tunaamini wanasheria wote Ni sawa) hapo ameona kuwa Una haki lakini umeshindwa kuithibitisha au kujitetea mahakamani Na hii Ni kwa sababu, mahakama Ni chombo cha kutoa haki, Na Kina kanuni zake, sasa wengi hawajui hizi kanuni kwa sababu Ni suala la kitaaluma.
Hivyo unahitaji mtaaluma wa sheria Ili aweze kukabiliana Na legal technicalities Na court procedures Ili kuweza kukutetea.
Hiyo mnayosema ujanja ujanja si sahihi.
...haipo sahihi kwa sababu hakuna sehemu mwanasheria anafundishwa huo ujanja ujanja, Na mwanasheria yoyote Ni afisa wa mahakama kanuni za utendaji wa taaluma (professional conducts, ethics and court etiquettes) zinamtaka wakili atende haki Na asitetee uwongo, Hilo ndo lengo juu.Hapo hapo mkuu,wapo wanaojua kabisa hii si mali yangu ila anajua kucheza na sheria na anajua kukabiliana na hizo legal technicalities na court procedures na anakushinda wewe mwenye uhalali wa iko kitu, sasa kauli yangu ya kwamba Sheria ni ujanja ujanja si iko sahihi ????
Asante sana mkuu kwa kunisaidia hoja yangu,ila naona umeongelea zaidi ubinadamu kwamba kikanuni hawaruhusiwi wala kufundishwa ujanja ujanja,lakini ndio wanautumia na wengi wanazurumiwa haki zao kwa kukosa kujua michezo ya kisheria inataka nini na ndimo wanasheria wanayoitumia mianya hiyo. Najua unajua kuwa zipo kesi nyingi watu wanashinda si kwa sababu walistahili,ila ni vile wanavyojua kupanga kanuni za kisheria na za kimahakama na kuwatengeneza mashahidi wa uongo na mwisho wa siku kesi unashinda....haipo sahihi kwa sababu hakuna sehemu mwanasheria anafundishwa huo ujanja ujanja, Na mwanasheria yoyote Ni afisa wa mahakama kanuni za utendaji wa taaluma (professional conducts, ethics and court etiquettes) zinamtaka wakili atende haki Na asitetee uwongo, Hilo ndo lengo juu.
1. Sasa ikatokea wakili katika kumtetea mtu akatumia huo ujanja ujanja Ni kukiuka kanuni, ingawa hili huwa haliangaliwi Sana.
Sasa hii ndo position ya utaratibu wa kazi, tofauti Na hapo, yaani huo ujanja ujanja haupl rasmi, Na ikatokea Kuna wakili wa upande wa pili akaugundua huo ujanja ujanja, kesi inaweza kubadilika. Na ndiyo maana watu wote wenye mashauri mahakamani wanashauriwa kuweka mawakili kuwawakilisha kwa kesi zao.
2. All in all, ujanja ujanja upo sehemu nyingi lakini haurusiwi, Na ndiyo maana Kuna mawakili wengine hawachukui kesi Kama za mauaji kwa kuogopa kutetea uwongo.
3. PIA wakili kazi yake siyo kukufanya ushinde kesi, Ni kukufanya upate haki yako Na kukupunguzia adhabu.
Yeah Ni kweli kabisa mkuu, kiukweli huwezi zuia huo ujanja ujanja kwa sababu ya watu kukosa maadiliAsante sana mkuu kwa kunisaidia hoja yangu,ila naona umeongelea zaidi ubinadamu kwamba kikanuni hawaruhusiwi wala kufundishwa ujanja ujanja,lakini ndio wanautumia na wengi wanazurumiwa haki zao kwa kukosa kujua michezo ya kisheria inataka nini na ndimo wanasheria wanayoitumia mianya hiyo. Najua unajua kuwa zipo kesi nyingi watu wanashinda si kwa sababu walistahili,ila ni vile wanavyojua kupanga kanuni za kisheria na za kimahakama na kuwatengeneza mashahidi wa uongo na mwisho wa siku kesi unashinda.