chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau.
Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na kulihamishia Malawi.
Kama Mexico wame-lodge complaint, Tanzania tufuate utaratibu huo
Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na kulihamishia Malawi.
Kama Mexico wame-lodge complaint, Tanzania tufuate utaratibu huo