Kumbe si Ziwa Nyasa tu, Rais wa Mexico ailalamikia Google kwa kubadili ramani, ghuba ya Mexico waiita ghuba ya America, huu ni ubeberu wa kimtandao

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau.

Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na kulihamishia Malawi.

Kama Mexico wame-lodge complaint, Tanzania tufuate utaratibu huo
 
Trump, Idiot-In-Chief wa Marekani, ndiye aliyebadilisha jina la Gulf of Mexico kuwa Gulf of America!
 
Ziwa Nyasa Nyerere na Kawawa walishakubali mpaka wa Tanzania na Malwai uko ufukwe wa mashariki.

That is a fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…