Kumbe siku hizi Mtu akikuita JEMBE maana yake wewe ni SHOGA.

Kumbe siku hizi Mtu akikuita JEMBE maana yake wewe ni SHOGA.

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
996
Reaction score
204
Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga)
kwa hiyo mtu akikuita jembe usikubali labda uwe ni mmoja wao(shoga)
 
aaaaaah tunachoka na lugha zenu vijana jamani, kila kukicha mnakuja na kiswahili kipya
 
Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga) kwa hiyo mtu akikuita jembe usikubali labda uwe ni mmoja wao(shoga)
Weka tofauti kati ya SHOGA na VITENDO VYA USHOGA.
 
bado ofsini kwetu tunaitana jembe kama mchapakazi,mfano mimi ofsini kwetu nimeama department tatu ndani miezi miwili ili kuziba pengo la staff wenye dharura,kila nkipita korido nasikia JEMBE VIPI! Labda utuambie kuwa maana ya shoga imebadilika na kuwa mchapakazi. ivi mpaka kesho mkurugenzi ananiita jembe. Mi najua pia ni jembe,niite jembe ntaitika tu!
 
Sisi huku kwetu tunalimia majembe ambayo yamechongoka mpini unaingia kwenye jembe. Kwa tafsiri yako huku kwetu mtu akikuita mpini anamaanisha shoga na akikuita jembe anamaanisha basha...
 
Inakuwa wapi huyo jamaa anapotosha tu! mi nasikia jina jipya la watu wanaofanya vitendo vya ushoga wanaitwa " kuku mtamu"!
 
Jst mtazamo.Ni sawa na Sharobaro,eti sahihi yake ni 'baro'ukisema sharobaro ni tusi,lakn nackia watu wanatamba kuwa wao ni maraisi wa masharo...Inawezekana ni kweli lakni mbandala wake nn?
 
Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga)
kwa hiyo mtu akikuita jembe usikubali labda uwe ni mmoja wao(shoga)
Ha ha ha ha. Hii lazima ni matokeo ya stimu ya bangi. Inakuweje fikra zikaanza kufanya kazi kihivyo kama sio baada ya kulipuliza?
 
Natoa salam kwa wote jamii forums... mara nyingi huwa najiuliza hivi ni kweli hii lugha au maneno yanayofasiriwa vingine tunavyofahamu ndio ni sawa au ndio maendeleo yenyewe na kama jembe ni shoga mimi ndio mara ya mwanzo kusikia na kwanini tuite shoga na kiswahili ni ****** shoga ni baina ya mwanamke na mwanamke ...
 
bado ofsini kwetu tunaitana jembe kama mchapakazi,mfano mimi ofsini kwetu nimeama department tatu ndani miezi miwili ili kuziba pengo la staff wenye dharura,kila nkipita korido nasikia JEMBE VIPI! Labda utuambie kuwa maana ya shoga imebadilika na kuwa mchapakazi. ivi mpaka kesho mkurugenzi ananiita jembe. Mi najua pia ni jembe,niite jembe ntaitika tu!

Saaaaafi sana JEMBEE na Hongera kwa uchapa kazi huo.
 
Sisi huku kwetu tunalimia majembe ambayo yamechongoka mpini unaingia kwenye jembe. Kwa tafsiri yako huku kwetu mtu akikuita mpini anamaanisha shoga na akikuita jembe anamaanisha basha...

hahahahahaha hyo nayo noumer itafikia hatua kila neno litakuwa baya.
 
Hapo lazima mwanzisha thread lazima atakuma alikuwa kesha piga kijiti,banana au kiroba .

Zilimchanganya zaidi alipokutana na mwanga wa simu alipofungua jf ndiyo mana kapost *****??
 
Mnazidi kutuharibia lugha tu na uhuni wenu, na sururu je maana yake nini?
 
ukifuatialia vijana siku hizi utashindwa hata kuzungumza!..kila kitu ni tusi...ili la jembe nimelisikia muda mrefu sasa!...waanzishaji ndo sisi na kuyapindua ndo kazi yetu pia...so ngoma droo!..
 
Back
Top Bottom