Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
Weka tofauti kati ya SHOGA na VITENDO VYA USHOGA.Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga) kwa hiyo mtu akikuita jembe usikubali labda uwe ni mmoja wao(shoga)
Ha ha ha ha. Hii lazima ni matokeo ya stimu ya bangi. Inakuweje fikra zikaanza kufanya kazi kihivyo kama sio baada ya kulipuliza?Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga)
kwa hiyo mtu akikuita jembe usikubali labda uwe ni mmoja wao(shoga)
Acha upotoshaji mie ni jembe.
Acha upotoshaji mie ni jembe.
bado ofsini kwetu tunaitana jembe kama mchapakazi,mfano mimi ofsini kwetu nimeama department tatu ndani miezi miwili ili kuziba pengo la staff wenye dharura,kila nkipita korido nasikia JEMBE VIPI! Labda utuambie kuwa maana ya shoga imebadilika na kuwa mchapakazi. ivi mpaka kesho mkurugenzi ananiita jembe. Mi najua pia ni jembe,niite jembe ntaitika tu!
Sisi huku kwetu tunalimia majembe ambayo yamechongoka mpini unaingia kwenye jembe. Kwa tafsiri yako huku kwetu mtu akikuita mpini anamaanisha shoga na akikuita jembe anamaanisha basha...