Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Hawa mabwana walianza kujiita QUEENS baadae ikaonekana kuwa siyo vyema timu yenye wachezaji wa kiume kuitwa QUEENS
Wakaja wakajiita SUNDERLAND jina la mji mmoja huko UINGEREZA baadae ikaonekana haileti uhalisia ndipo wakajiita SIMBA
DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS toka KITAMBO HICHO jina lao hilo hilo tu
Pichani wakiwa picha rasmi ya kikosi kilichocheza fainali za Caf "'Abiola" cup 1993 kikiwa na Jezi za Man United
Yaani kama Yanga wangecheza fainali na jezi za Chelsea
Hawa majamaa bwana