Kumbe sio siku zote kuwa wa Kwanza ni Jambo zuri

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
MABAO MENGI ZAIDI KUFUNGWA
kwenye msimu mmoja wa #CAFCL

[emoji1241]Young Africans - 19
[emoji1174] Costa do Sol - 17
[emoji1052] Galaxy - 17
[emoji1269] CAPS Utd - 16
[emoji1062] Coton Sport - 16 [emoji682]
[emoji1232] Merrikh - 15
[emoji1062] Sable FC - 14
[emoji1269] Monomotapa - 14
[emoji1029] Petro de Luanda - 14
[emoji1184] Shooting Stars - 13
[emoji1026] Belouizdad - 13
[emoji1241] Simba - 13 Kumbe sio siku zote kuwa wa Kwanza ni Jambo zuri [emoji2][emoji12]
 

Umebinuka kwa Kiwango cha CAF
 
Hii picha imekaa kifala fala sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga iko CAFCC sio CAFCL 😀😀sikumbuki lini Yanga ameshiriki CAFCC?
 
Kwa kuwa mashindano hayajamalizika, basi hata huyo mwenye 13 anaweza akampita mwenye 19 ndani ya April hii hii.
Au unamaanisha group stage?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…