Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hii thread nimeipa hadhi kuwa ni TETESI hadi hapo itakapodhibitishwa.
Ni kwamba kuna watu wamelaumu sana wale wanaojitoa huku kwenda kule na kusema wanaunga mkono juhudi na kusema wanashawishiwa kwa pesa na vyeo.
Habari nilizokuta katika mtaani ni kuwa kuna kiongozi mmoja ambaye kesha timiza hilo lakini kakana kupokea pesa yeyote bali alitishiwa kimafia kabisa kuwa asipofanya hivyo atafanyiwa jambo baya la kulawitiwa na kupigwa picha na kusambazwa kwa jamii. Kweli kama ni hivyo mtu mwenye heshima kwa jamii na familia nyuma yake atafanyaje hapo?
Kwa maelezo yake sio wote wapewao fedha bali wengine wanatekeleza takwa hilo kulinda heshima zao tuu zisiharibiwe.
Kwa wajuzi wa mambo jee Tetesi hizi zaweza kuwa na mantiki? ukizingatia wengine muda mchache uliopita walitoa maneno makali sana kupinga mambo kadhaa iweje ghafla waseme wanaunga mkono?
JK alisema zakuambiwa changanya na za kwako