Kumbe siyo kila mwanamke anaweza kukata viuno

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Zamani nilijua kila mwanamke anaweza kukata viuno.Nilijua wameumba hivyo sasa nimekuwa nikikitana na mabinti kadhaa wakija Ghetto, nikiwafungulia music wacheze wengi wao mauno magumu kama dona ya juzi.kumbe wakata viuno wa kwenye TV ni wachache sana
 
Dah...ukianza kujua bei ya wembe...utajua mambo mengi sana...usiwe na papara.....kwani muda si mrefu utajua hata mtoto anapatikanaje 😎
 
Zamani nilijua kila mwanamke anaweza kukata viuno.Nilijua wameumba hivyo sasa nimekuwa nikikitana na mabinti kadhaa wakija Ghetto, nikiwafungulia music wacheze wengi wao mauno magumu kama dona ya juzi.kumbe wakata viuno wa kwenye TV ni wachache sana
Aiseee!
 
Ufundi ni kitandani kaka akiwa kakubeba sio kwenye jukwaani
 
Zamani nilijua kila mwanamke anaweza kukata viuno.Nilijua wameumba hivyo sasa nimekuwa nikikitana na mabinti kadhaa wakija Ghetto, nikiwafungulia music wacheze wengi wao mauno magumu kama dona ya juzi.kumbe wakata viuno wa kwenye TV ni wachache sana
Hahahahahah uliwahi kumuona Diva wa clouds anakata mauno,uno gumu kama muogooooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hujaeleweka.
ni mauno gani unayozungumzia?
Mauno unayoyaona kwenye TV na yale ya kitandani ni vitu 2tofauti
 
Eti ukiwaashia TV: yaani mtu kaja kwako badala muongee vya mahaba mnaanza tena kucheza mziki! si bora mngetoka kwanza mwende club
 
Zamani nilijua kila mwanamke anaweza kukata viuno.Nilijua wameumba hivyo sasa nimekuwa nikikitana na mabinti kadhaa wakija Ghetto, nikiwafungulia music wacheze wengi wao mauno magumu kama dona ya juzi.kumbe wakata viuno wa kwenye TV ni wachache sana
Walete niwafunze! Me kiuno panga boi!
 
Back
Top Bottom