Kumbe Steve Walsh kaondoka Leicester kahamia Everton?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nilikuwa nashangaa mbona Everton wako vizuri season hii
na mbona Leicester city wako hovyo?

Kumbe yule mtaalam wao wa usajili kahamia Everton

na tayari kasaini kifaa kikali kuliko Ngolo Kante
kuliko Pogba.....hapo Everton....

Sijui why Leicester walikubali huyu jamaa aondoke
 
Walifanya kosa kubwa sana kumwachia,but do u think Everton wataendelea kufanya vizuri hadi mwisho
 
Walifanya kosa kubwa sana kumwachia,but do u think Everton wataendelea kufanya vizuri hadi mwisho

kosa kuubwa sana
sioni how leicester kama wataweza tena kuingia hata top four
 
Sema huyu jamaa ni mtaalamu mzuri sana kwenye mambo ya biashara..
Na kujua kuingiza faida
 
Sema huyu jamaa ni mtaalamu mzuri sana kwenye mambo ya biashara..
Na kujua kuingiza faida

huyu jamaa ni noma aisee
kumbe hata kina Drogba na Essien ni yeye ndo aliomtafutia Morinho
 
MBONA Wenger si alikuwa mtaalam wa kusajili na bado yupo lakini usajili zero- Leicester was just a one season wonder
 
MBONA Wenger si alikuwa mtaalam wa kusajili na bado yupo lakini usajili zero- Leicester was just a one season wonder

Unaweza kuwa hujamsoma huyu Steve Walsh vizuri
yeye sio kocha...Wenger ni kocha

Huyu Steve ana kipaji cha kugundua kipajji ambacho wengine hawakiona

na sio tu Leicester kawasaidia
hata Chelsea aliwasaidia........

akipat kocha mzuri kama huyu wa Everton wa sasa combination yake ni hatari sana

itazame Everton now.....ndo timu pekee na Man City hawajafungwa so far
 
league ndio kwanza imeanza,come Christmas hawa Everton watakuwa kwenye nafasi yao,middle tier
 
league ndio kwanza imeanza,come Christmas hawa Everton watakuwa kwenye nafasi yao,middle tier

Everton ndo timu ya ku surprise watu this season
hawatachukua ubingwa but watamaliza top six au four for sure
naweza ku bet on that
 
Everton ndo timu ya ku surprise watu this season
hawatachukua ubingwa but watamaliza top six au four for sure
naweza ku bet on that
Ronald Koeman ni mmoja ya makocha bora sana kumbuka msimu uliopita alimaliza nafasi ya 6 na Southampton kwenye msimu wake wa kwanza EPL,Licha ya kuondekewa na kocha wao na baadhi ya wachezaji muhimu.Wachezaji kama Mane,Fonte,Forster,Pelle,Wanyama,Tadic,Bertrand na Van Djik walifanya vizuri sana chini ya Koeman msimu uliopita na walifanikiwa kuzifunga Chelsea,Man City,Man United,Arsenal,Tottenham,West Ham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…