Yaani kuanzia pale nilipoona Supika anaungana na kina Kitenge kuwapambania DP World nikajua tayari tunapangwa!Mkataba ni deal la wakubwa.
Wanamiliki vyombo vya usalama. Wanaulazimisha
Mimi naweza kurusha drone wewe unaweza kusaidia nini bandari irudi?The way forward imeshatolewa na TEC
Tanzania ni ya Watanzania.Yaani kuanzia pale nilipoona Supika anaungana na kina Kitenge kuwapambania DP World nikajua tayari tunapangwa!
NB: Huu ni muda muafaka wa kuisambaratisha ccm! Tufanye system overhaul!
Tatizo ni Elimu duni na Njaa...Tanzania ni ya Watanzania.
Tanzania siyo mali ya vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo hivyo vinapaswa kuwasaidia Watanzania kufikia malengo chanya ya nchi.
Leo watawala wameshaliteka Bunge na Mahakama, wanapitisha sheria watakavyo. Wanawafunga Watanzania watakavyo.
Tunahitaji kuona uhuru unatafsiriwa kivitendo na si kwa nadharia
Unakoelekea unakujua mwenyeweMimi naweza kurusha drone wewe unaweza kusaidia nini bandari irudi?
Hata sijui naelekea wapi ila nimependa mfano alioutoa leo Kikwete kuhusu Chemikaze wa JapanUnakoelekea unakujua mwenyewe
Huyo mzee anatetea serikali kuminya uhuru wa kujadili mustakabali wa nchiHata sijui naelekea wapi ila nimependa mfano alioutoa leo Kikwete kuhusu Chemikaze wa Japan
Na Bakwata wakija na way forward tofauti?The way forward imeshatolewa na TEC
Kwa hiyo TEC ndo Chama chenu cha siasa?The way forward imeshatolewa na TEC
Na ndio maana hawataki mgogor outatuliwe ICSIDKama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai.
Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South Africa, haziwezi kuvunja hii IGA. Kumbe IGA hii haitambuliki kimataifa kwani inavunja sheria za kimataifa. Na mengine mengi, msikilize anavyodadavua kitalaam.
View: https://youtu.be/zVfE3P3pzgA
Sisi nguvu yetu ni MunguMimi naweza kurusha drone wewe unaweza kusaidia nini bandari irudi?
Haitakuwa tofauti kwani Mungu ni yule yule. Bibilia na Kurani zinahubiri yale yale, hazina tofauti.Na Bakwata wakija na way forward tofauti?
Kitu ambacho ni kinyume na sheria za kimataifa za kushughulikia international investment disputes.Na ndio maana hawataki mgogor outatuliwe ICSID
Rasilimali za nchi si mali za vyama vya siasa. Ni mali zetu wote, wenye dini na wasio na dini, wenye vyama vya siasa na wasiokuwa na vyama vya siasa.Kwa hiyo TEC ndo Chama chenu cha siasa?
Sidhani kama sababu ni hiyo. Atakuwa kachomekewa tu na wajanja waliovuta mpunga.Mwabukusi: DPW ni wajanja wa hapa hapa.
Kumbukeni yule mtu wajomba zake ni waarabu. Kwahiyo ndiyo maana ameamua kujitoa kimasomaso
Tanzania sasa hivi ina watu wengi sana wenye elimu kuwapita hata hao watawala na wanasiasa wetu. Tanzania ya leo siyo sawa na ya enzi za Mwalimu na Mkapa. Ni ngumu kuwaburuza kama alivyofanya spika Tulia.Tatizo ni Elimu duni na Njaa...
Bado anapambana kuacha legacy yake ya bandari ya Bagamoyo na katiba mpya. Alishachelewa, angepumzika tu asimchanganye rais wetu. Magufuli aliwapiga ban marais wastaafu kumwingilia kwenye kuendesha nchi. Aliwataka wanyamaze.Huyo mzee anatetea serikali kuminya uhuru wa kujadili mustakabali wa nchi
Siyo ndogoKai ipo
Wakubwa wote wa vyombo vile wako mifukoni mwaoMkataba ni deal la wakubwa.
Wanamiliki vyombo vya usalama. Wanaulazimisha