Kumbe Tanzania tuna mitishamba. Tulikuwa tupigwe nne kabisa

Kumbe Tanzania tuna mitishamba. Tulikuwa tupigwe nne kabisa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Ni nguvu ya mitishamba imetuokoa na hii ni wazi kuwa Tanzania tupo vizuri kwa mawitchdokta.

Kupunguza goli nne mpaka moja.

image_search_1650825169114.jpg
 
simba unga umezidi maji kama makerubi vile
 
Kwa walipofikia wamejitahidi, tusubiri hiyo tar 30/04
 
Back
Top Bottom