Kumbe Tonya..unasomaaa!

Kumbe Tonya..unasomaaa!

sekulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
988
Reaction score
158
Wengi wamekuwa wakijiuliza Matonya yuko wapiiii,kwa taarifa yenu ni kwamba hivi majuzi tu huko kitaani alifunguka waziii kwamba kwa sasa anapiga kitabu (anasoma) kule Kenya.

Alipobanwa kwa maswali kutaka kujua anasoma kitu gani,Tonya alisema ni mapema sana kusema anachokisomea mpaka hapo atakapoweka cheti mkononi ndipo atakapokuwa tayari kuweka wazi ni nini haswa alikuwa anasomea.

Source Gonga Hapa

Point Blank
Ila sijajua kwanini hataki kusema anasoma nini na ktk chuo gani!, Dah!
 
Back
Top Bottom