dah wa congo bana very smart, kuanzia franco, wale jamaa wa kavasha akina nzaya nzayadio, nani hakupenda kavasha miaka ya sabini na themanini? chui wa zaire alipokwenda world cup 1974 ingawa aliraruliwa kucha tisa lkn ana historia, mohamed ally alizitwanga kinshasa dikembe mutombo alicheza nba wa kongo kibao wanaupiga ulaya, vita kila kukicha lkn sisi na wimbo wetu wa amani hauna lolote siasa za kipuuzi, michezo hatuwezi, muziki hakuna kitu, biashara kimataifa hakuna hili ni taifa mfu. ukiangalia vi timu vyetu vinacheza unaweza kutapika.