Kumbe Tshisekedi aliingia mkataba na Museveni, Odinga na Kagame kabla ya uchaguzi wa 2018 alioushinda

Kuna mikono ya mataifa mengi saana DRC....Wamarekani wenyewe wapo pale kutetea maslahi ya makampuni yao yanayohitaji malighafi kutoka Congo.

Mkurungezi wa zamani wa shirika la ujasusi la Rwanda alitoboa hii siri.
Mwenzetu akinyolewa sisi tutie maji
 
Unaandika uwezekano? Museven na kagame ndiyo wahusika wakuu wa mauaji ya Laurent kabila! Na Felix hapo madarakani aliwekwa na joseph kabila Tu kwa makubaliano maalumu
 
Hatimaye Ijumaa mahasimu watakutana kwa mkutano Dar es Salaam


 
Sasa kwanini wasingeamua tu nchi hizo ziwe moja badala ya kukubaliana upuuzi wote huo
Sorry ni muendelezo wa hadithi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…