Kumbe tume ya mabadiliko ya katiba walijaza mamluki wao tu?

Kumbe tume ya mabadiliko ya katiba walijaza mamluki wao tu?

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
1,182
Reaction score
2,015
Tulidhani tuko pamoja, kumbe wengine wanataka kutengeneza katiba yao, na tayari walikuwa nayo mfukoni mwao.

Unapenyezaje mamluki kibao ktk kuunda katiba ya wote tena ktk hatua ya awali ya kukusanya maoni.

Dogo Itakuwa aliahidiwa jambo maana alipanic sana na kuanza kupiga kelele, wamemkumbuka yuko kimya anakula neema.

Babu yake nae wamempoza awe anapata hela ya kununulia kahawa.

Mungu anaona haya yote ujue, ni suala la muda tu, ukifika mtatoka tu, hata muwe na viburi!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Mh!!
Ngoja kaupepo katulie kwanza.
Na hivi "sikuzungumzia lolote kuhusu katiba!!!"
 
Mh mbombo ngafu kwel kwel kwa hii thread
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Back
Top Bottom