Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
Mpaka sasa wezi wa mabilioni ya shilingi za watanzania wapo uraiani wanajipongeza kuibia watanzania.
Watu wanaiba mabilioni ya shilingi halafu Rais anatukana, badala achukue hatua za KUWAACHISHA KAZI NA KUFILISIWA.
Rais ndo Amiri jeshi mkuu means ndo anatakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na uharifu hasa ufisadi unaondelea kwa baadhi ya viongozi wake.
Tungekuwa na Rais serious mpaka sasa hawa mawaziri hawatakiwi kuwa kwenye nafasi za uwaziri kutoka na UFISADI WA KUTISHA KUTOKEA KWENYE WIZARA ZAO;
1. Mwingulu Nchemba,
2. Nape Nnauye,
3. Pro. Mbalawa Makame,
4. Ummy Mwalimu,
Na wengineo ambao Report ya CAG imewamulika.
Lakini kwa kuwa viongozi mnaona kutubia wananchi ni jambo la heri, muda si mrefu mtakuja kujuta kiroho. Maana Rais hata tusi lile kashindwa kulionesha kwa vitendo means mnamcheka na kumuona kajitukana mwenyewe.