Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.
Mbona haya ni madogo ongelea malt companies kama Mitsubishi,(Ford),Boeing,viwanda na wataalamu wa kivita(nuclear plants)ulimwenguni hasa huko Russia na Marekani ujue asili yao ni wapi,wakuu wa nchi mfano Russia na baadhi ya nchi ulaya kama Italy na kwingineko,Mabilionea na wasomi wakubwa duniani asili yao ni wapi nafikiri utapata jibu kwa urahisi kabisa kwanini Israel haiogopi chochote huku ulimwenguni na kwa kuongezea tu hii nchi ilianzishwa mwaka 1949 yaani kui re install upya wengi wao walitokea Sweden Poland Germany Russia jiulize ni nchi gani nyingine iliyowahi kupotea miaka zaidi ya 1000 kisha ikarudishwa tena baada ya vita kuu ya dunia walipotaka kuwamaliza kwa kuwaua au kufuta kizazi chao huku ulimwenguni na ni kwanini Hitler alitaka kufanya hivyo.majibu ni mepesi tu kamwe hauwezi kukubali kuona ndugu yako akiuwawa wakati uwezo unao wa kumsaidia tena siyo muda mrefu sana ulimsaidia kupata nchi yao walioipoteza miaka mingi iliyopita.
 

DADA FAIZA,, wenzio wakisikia WAYAHUDI WANAJUA NI WAKRISTO.. na hapo ndio shida inapoanzia, wanasahau kuwa hawa ndio waliomtesa YESU... NI vizuri umewapa elimu ambayo hawaijui......
 
kumbe we ni mvivu wa kusoma maandiko soma biblia utajua au link ya huyu mtabiri ambaye kila alichotabiri kimetokea humu ulimwenguni ili ujue kuna Mwenyezi Mungu na hao ndiyo wateule wake Nostradamus, the Man Who Saw Through Time: Contents
 
DADA FAIZA,, wenzio wakisikia WAYAHUDI WANAJUA NI WAKRISTO.. na hapo ndio shida inapoanzia, wanasahau kuwa hawa ndio waliomtesa YESU... NI vizuri umewapa elimu ambayo hawaijui......

tatizo ni shule,kumbe hawa jamaa ni vilaza sana halafu kwa kujisifia usomi,kumbe hopelless na vyeti vyao vya ndalichako.
 
Kama Israel inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au Jerusalem?
Ndio huo ukubwa unaozungumziwa, mtu anamiliki uchumi wako hapo hapo nyumbani kwako, wala haitaji kuwa kwake!
 
 
Basi ndo hivyo, Myahudi anaishi sehemu mbalimbali na kumiliki uchumi hapo alipo! Heshima kwake!

Wala si hivyo. Uchumi unamilikiwa na wote wanaochangia kuuunda.

Habari za Wayahudi mnazishobokea bure tu.
 
Kwa nini Wapalestina wasiombe kuwa raia wa Israel ili maisha yaende vizuri? Kuna haja gani ya kupigana na mtu anayekutwanga siku zote zaidi ya miaka 60 na wewe unajipa moyo tu kuwa unaweza, huku ukipoteza watu wako? Mbona Japan walipopigwa bomu la nyuklia walisaini waraka kusalimu amri, na wakavunja kambi zote za jeshi, maisha yakaendelea, na sasa wako mbali kiuchumi na kiteknolojia!?
 
Jews wako na akili mingi sana bila hivyo wasingeweza kuishi katikati ya maadui wao wa ukweli, cheki hapa chini wanavyodungua mdogo mdogo hawa watoto wa house girl wa Abraham

...

Religion in Israel is a central feature of the country and plays a major role in shaping Israeli culture and lifestyle, and religion has played a central role in Israel's history. Israel is also the only country in the world where a majority of citizens are Jewish. According to the Israel Central Bureau of Statistics, the population in 2011 was 75.4% Jewish, 20.6% Arab, and 4.1% minority groups.[SUP][1][/SUP] The religious affiliation of the Israeli population[SUP][vague][/SUP] as of 2011 was 75.4% Jewish, 16.9% Muslim, 2.1% Christian, and 1.7% Druze, with the remaining 4.0% not classified by religion.[SUP][2][/SUP]


MKUU WEWE MWAFRIKA HAUPO HAPO,, sasa sijui tukusaidie nini,, naona unajipendekeza kweli kwetu,, SISI NI TAIFA TEULE NYIE NI MASHABIKI WETU TU,,, vp mnataka mtupe vitalu tuje kuchimba GAS & OIL???
 
Last edited by a moderator:
kila kitu kiko staged,hakuna cha mtabiri wala nini kila kitu kimepangwa na hufanywa halafu wanadai eti maandiko yametimia kumbe usanii
kumbe bado unayaita maandiko ya mwenyezi mungu usanii,bila kusoma basi angalia Aljazeera TV au ingia web yao kuna kipindi kinachohusu mwanzo wa Taifa la Israel ili ufungue ufahamu vizuri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…