Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.
njooni tu mchukue gesi ili tupate kubarikiwa.
 

Kipi UN walikifanya Wakati WATUSI wanauwawa? Km sio KUTAZAMA TU?

Kipi UN wamekifanya Wakati MANDELA Anaitwa GAIDI na Waziri mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher? Ambae yeye na Serikali yake walikuwa Wakisaidia na kuunga mkono utawala wa Kibaguzi wa makaburu 100%! Tena wazi kabisa.?
Na watoto wa Kiafrika Kuuwawa na MAKABURU na Askari wa Makaburu KUTUMIA MBWA kuwakamatia WAAFRIKA kama wewe?

NINI hio SO CALLED UMOJA WA MATAIFA walikifanya??

We utanieleza nini Mkamia UDINI?

Unajaribu kuuliza maswali ya kejeli kwa kutaka kukataa ukweli.

Hebu jibu maswali hayo hapo juu.
La! Huwezi kuwa na nidhamu ya mjadala na KAA kimya.
 
Maswali ya watoto wa darasa la pili yanapoteza wakati humu.
Wewe ni FaizaFoxy ?
Maana inaonekana ambae unapoteza muda wa watu humu ni wewe
Uliza swali lenye faida.
Unajua kilichonifanya nikamuuliza hilo swali?
Kipi kina faida na kwa mujibu wa nani?
Hivi lini watanzania watafikia kuwa na busara hata za majadiliano?
Ngoja nikuulize tena,wewe ni FaizaFoxy ?

Maana inaonekana wewe ndio usiekuwa na busara
Unadandia hata usiyoyajua
Nani asiejua kuwa Britain Iliwapa Waisraeli ARDHI YA WAPALESTINA?
Britain iliwapaje hiyo ardhi?
Palestine ilianza kuwepo lini?
Mipaka yake ilikuwaje?

Hivi kweli kabisa na wewe unadhani kuwa mji wa Jerusalem ni wa Wapalestina?
Waisraeli waliokiwepo kabla ya hio mipaka walikuwa wanamiliki less than 2% ya Ardhi hio.
Nipe ushahidi wa hili na uniambie mipaka yao ilikuwa inaanzia wapi na kuishia wapi

Halafu unipe ramani ya wakati huo ambao hiyo mipaka ilikuwa inafanya kazi
Leo wairaeli wanakalia kimabavu zaidi ya Asilimia 60%!!! Ya Ardhi.
Acha porojo,nimekupa fursa ya kuutangazia umma wa Watanzania na wengine kuwa Israel inakalia kimabavu ardhi isiyokuwa yao,hebu fanya hivyo halafu haya makelele yako yatakuwa na faida
Sasa hilo swali lako sijui unataka kumpotezea muda nani hapa.
Nakuuliza kwa mara ya tatu,wewe ni FaizaFoxy ?

Kama linapoteza muda ni kwanini amehanganika kujibu japokuwa amejibu kile ambacho sijamuuliza?
Au hujui kusoma?
 
Kipi UN walikifanya Wakati WATUSI wanauwawa? Km sio KUTAZAMA TU?
Sijakuuliza suala linalohusiana na mauaji ya Kimbari wala kwenye post yangu sijataja Rwanda wala Tutsi
Hili nalo sijakuuliza
NINI hio SO CALLED UMOJA WA MATAIFA walikifanya??
Hili nalo sijakuuliza dogo
We utanieleza nini Mkamia UDINI?
Hata hili nalo sijakuuliza kabisaaa
Unajaribu kuuliza maswali ya kejeli kwa kutaka kukataa ukweli.
Hili nalo sijakuuliza hata mara moja,umetoa wapi yote haya?
Hebu jibu maswali hayo hapo juu.
Kuna post ulisema kuwa Watanzania hawana busara ya mjadala,sasa inaonekana wewe ndio huna busara kabisa

Ni mjadala gani watu wanaulizana bila kupeana majibu kama walevi?
Ni wapi umejibu swali langu?

Kama hujajibu una haki gani ya kudai majibu ya maswali yako?
Busara ya mjadala ni kuuliza kisha unajibiwa,wewe umefanya hivyo?

Nyie watu ni hatari
La! Huwezi kuwa na nidhamu ya mjadala na KAA kimya.
Anaestahili kukaa kimya ni wewe ambae hata kuhibu swali moja umeshindwa
Tafadhali bwana mdogo hebu nijibu!
 
Yoyoooooo memmnnnn haleluyaaaaa pepo tokaaaaaaaa kwa jinaaaaaaaa la YESUUUUU aliyekula makofi na WAYAHUDI badae akatundikwa mtini nasema pepo tooookkkaaaaaa aghhhhhhhhhhhh

Wenzio wanatoa hoja,wewe unatoa pepo.Hivi bado hujui mapepo yapo kwa wasio kula nguruwe?
 
Wanasema wengi wanaofanya kazi upande wa Israel kipato chao ni kizuri na cha uhakika, ndio ile ile story ya "baniani mbaya...."

 
Israel taifa kubwa... Dunia nzima ukiongelea uchumi mkubwa muisrael (km raia) lazima atajwe
Makampuni makubwa karibuni yote duniani yanaendeshwa na watu wenye asili ya Uyahudi. Whether wamezaliwa Marekani,Ujerumani ,Urusi, Uingereza au wapi lakini ni wayahudi kiasili na ndio hapo linapokuja suala la Waisrael kuendesha uchumi wa dunia.
 

Nimekupa like na nakupongeza tena
 
Waambie hao!

Manake sijui hata wanachokiongelea ni kitu gani.

Halafu, iweje Israel kama ndo inashikilia uchumi wa dunia ipewe misaada na Marekani?

wapi umeona mmarekani anampelekea muisrael msaada?? mbn hajasema km atasitisha misaada yake Israel kwa kinachoendelea sasa uko mashariki ya kati?? Au nndo mgandamizo wa hisia chuki binafsi na povu??
From understanding point of view

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…