Kama ulimwengu unaiogopa kwa vita kwa nini sasa Marekani inaipa misaada kibao?
Hebu acheni ujinga nyie watu khaaa!
We si umesema ni m USA imekuaje tena unalilia Tanzania na CDM? Akili yako ngumu sana kupambanua mambo, lala upumzike maana huko bado ndo kwanza saumu imepamba moto.
Halafu ndio hao hao hawamkubali Yesu aleyhi salaam na wakamtundika msalabani na biblia wakaiandika kuwa, kila atundikwae msalabani ana laana, halafu kuna misukule humu wanawashabikia. Ni maajabu.
we lala una lolote nadhani umelaaniwa wewe
Mkuu vipi mapambano yalikuwa vipi huko kama ulivyotuambia hapa chini, vipi Waisrael wameshasalimu amri? au bado mnawapa kichapo?dah,kweli majanga,watu humu washabiki sana
Tumeingia round ya pili ya mapigano mda mfupi uliopita.
ujue sasa hivi hakuna hata bomu limetua pale Tel aviv lakini ukienda upande wa pili kumetibuliwa vibaya.
Matusi ni moja ya ibada zenu na kwa hilo sikuwezi, manake hio ni fani yako.
Hebu tusaidie hio kauli yako unayosema Msaada unatoka kwa Wayahudi na unakwenda kwa wayahudi Umeipata wapi.
Tafadhali Usiniambie PADRI WAKO KASEMA.
Hii itakuwa tunapoteza wakati bure hapa.
Manake nyie kila akisemacho Padri mnabeba tu bila hata kuuliza.
Kwahiyo na nyie mnaoshabikia wayahudi. ni wayahudi au mnamilikiwa na wayahudi?
Hivi waarabu walishavumbua kitu gani hapa duniani?
25%Apple inc inamilikwa na saud prince talat
20% ya nokia pia ipo mikomoni mwa warabu
Hilton hotels
Movenpick
Sheraton
Qantas
France airlines
Swiss airline
Starwood hotels
Hyatt hotels
BP
Total
Citi bank
Hscb bank
Man city
Liverpool
Haroods
Etisalat
Htc
Airbus
Hizooo zote warabu wana hisa ya zaidi ya 20 %
Hata makamouni kama cikes pepsi wameuza hisa zao kwa waraabu
Wayahudi wanasaidiwa tu kama afrika
Wakinyimwa misaada leo basi ni kaputi
Ndio maana usa akinyanyua mdimo wake wanaufyata
Kwa hiyo?
Ndo unataka kunambia mungu anayakamata mabomu ya HAMAS yasiangukie huko Tel Aviv?
Kila mtu anajua sila za Israel nyingi ni za Kimarekani.
Na kwenye silaha conventional hapa duniani hakuna zaidi ya Mmarekani.
Nuff said.
Sikiliza nikuambie kitu israel ni nchi ya ahadi na ukifuatilia wavumbuzi wa vitu karibu wote duniani japo hawaishi israeli ni raiya wa nchi hiyo na huwa wanafanya mambo yao kwa maono hutaki unaacha.
Kama ulimwengu unaiogopa kwa vita kwa nini sasa Marekani inaipa misaada kibao?marekani yenyewe ni wayahudi, sasa sijui unaongea nini, kwenye senate kuna wayahudi kibao wenye uraia mbili, ni raia wa israel na ni raia wa marekani wapo kwenye senate. hivyo unaposema marekani inatoa msaada israel ni sawa na kuwema wayahudi wanatoa msaada israel. funguka kichwa au nenda kamwulize obama atakwambia. hata izo soda unakunywa ni wayahudi, sasa ukigoma bidhaa za israel unajisumbua tu kwani kila siku kwanza upo facebook, google, youtube, watsup, unakunywa pepsi, coca, fanta etc. pole samaki poleeeee
Hebu acheni ujinga nyie watu khaaa!
sisi sio wayahudi. kwani wewe ni mwarabu au ?Kwahiyo na nyie mnaoshabikia wayahudi. ni wayahudi au mnamilikiwa na wayahudi?
jamii forum pia nasikia